-
Al-Wifaq: Tuhuma dhidi ya Sheikh Ali Salman ni za uzushi na za ulipizaji kisasi kwa Qatar
Nov 03, 2017 07:37Shaikh Hussain Al Daihi, Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya al-Wifaq ya nchini Bahrain amesema kuwa, tuhuma dhidi ya Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa harakati hiyo, ni za kubuni na ni za kulipiziana kisasi Bahrain na Qatar.
-
Hatua kandamizi za usalama zashadidishwa Bahrain sambamba na kukaribia mwezi wa Muharram
Sep 12, 2017 07:51Utawala wa Aal Khalifa umeweka sheria kali za usalama nchini Bahrain sambamba na kukaribia mwezi mtukufu wa Muharram.
-
Kuendelea jinai za utawala wa Aal Khalifa katika kivuli cha himaya ya pande zote ya Marekani
Sep 10, 2017 07:26Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentagon imetangaza kuwa, nchi hiyo imeafiki mpango wa kuuzia silaha utawala wa kifalme wa Bahrain wa Aal Khalifa wenye thamani ya takribani dola bilioni nne na ambao unajumuisha ndege za kivita aina ya F-16, makombora na boti za doria.
-
Mzingiro wa eneo la Ad-Diraz watimiza siku 100 tangu Sheikh Isa Qassim awekwe kizuizini Bahrain
Sep 02, 2017 14:47Mzingiro uliowekwa na askari wa utawala wa Aal Khalifa katika eneo la Ad-Diraz yalipo makaazi ya Sheikh Isa Qassim, kiongozi wa kimaanawi wa mapinduzi ya wananchi wa Bahrain umetimiza siku mia moja.
-
Utawala wa Bahrain waendelea kuzuia Sala ya Ijumaa
Sep 01, 2017 15:03Vikosi vya usalama nchini Bahrain leo vimewazuia tena Waislamu wa eneo la Diraz kusali Sala ya Ijumaa.
-
Kituo cha Haki za Binadamu cha Bahrain chakosoa utendaji haribifu wa utawala wa Aal Khalifa
Jun 07, 2017 15:34Kituo cha Haki za Binadamu nchini Bahrain kimekosoa na kulaani utendaji wa utawala wa Kifalme wa nchi hiyo wa Aal Khalifa na kutoa wito wa kusitishwa utendaji huo haribifu.
-
Ghasia mpya Bahrain, Sheikh Qassim hajulikani aliko
May 29, 2017 07:11Askari wa utawala wa kiimla wa Bahrain wameendelea kuwashambulia wananchi wanaoandamana kumuunga mkono mwanazuoni wa Kiisalmu Sheikh Isa Qassim ambaye sasa ametoweka na hajulikani aliko.
-
Ukandamizaji usiokoma wa Aal Khalifa dhidi ya wananchi wa Bahrain
May 26, 2017 13:15Katika hali ambayo Wabahrain wamekuwa wakifanya maandamano ya kulalamikia hukumu ya kifungo cha jela iliyotolewa hivi karibuni dhidi ya Sheikh Issa Qassim, hatua ya watawala wa nchi hiyo ya kutoa hukumu nyingine ya kidhalimu ya kubadili kifungo cha miaka 2 jela kuwa cha maisha kwa watuhumiwa wengine 16 na vilevile kupokonywa uraia Wabahrain wengiene wanane ni ishara tosha kwamba ukandamizaji wa watawala hao dhidi ya raia wa nchi hiyo bado unaendelea.
-
Wabahrain waendeleza maandamano ya kulaani udhalimu wa ufalme wa nchi hiyo
May 26, 2017 07:30Wananchi wa Bahrain wameendeleza maandamano ya kitaifa ya kulaani udhalimu na umwagaji damu unaoendelezwa na utawala wa Aal Khalifa katika kijiji cha Diraz ambacho ni makao ya mwanazuoni maarufu wa Kiislamu Sheikh Isa Qassim.
-
Askari wa utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa wavamia eneo la Diraz, wajeruhi makumi na kuua
May 23, 2017 14:38Askari wa utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain wamevamia eneo la Diraz na kuwashambulia Waislamu wanaomuunga mkono Sheikh Isa Qassim, kiongozi mkubwa wa kidini wa Waislamu wa Shia.