-
Indhari ya jumuiya za wananchi nchini Bahrain dhidi ya utawala wa Aal Khalifa
May 09, 2017 21:53Muungano wa Vijana wa Mapinduzi ya Februari 14 nchini Bahrain umetoa indhari na onyo kuhusiana na matokeo mabaya ya hujuma dhidi ya mwanazuoni wa Kishia Sheikh Issa Qassim.
-
Utawala wa Bahrain waahirisha tena kesi ya Sheikh Isa Qassim, wahofia machafuko
May 07, 2017 09:57Kwa mara nyingine tena na kama ilivyotarajiwa, utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa nchini Bahrain, umeahirisha tena kesi ya Sheikh Isa Qassim, Kiongozi wa ngazi ya juu wa kidini nchini Bahrain kutokana na hofu ya kushindwa kudhibiti hali ya mambo nchini ikiwa utatoa hukumu dhidi yake.
-
Utawala wa Bahrain waendelea kuzuia Sala ya Ijumaa eneo la Diraz
Apr 29, 2017 03:13Askari wa utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain, kwa mwezi wa 10 mfululizo wamezuia Sala ya Ijumaa kusaliwa katika eneo la Diraz nchini humo.
-
Utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa waendelea kutumia silaha ya kuwavua uraia Wabahrain
Apr 24, 2017 10:33Mahakama Kuu ya Bahrain imewavua uraia vijana wawili wanaharakati wa nchi hiyo na kuwahukumu pia kifungo cha miaka kumi jela.
-
Mfalme wa Bahrain aafiki kuhukumiwa raia katika mahakama za kijeshi
Apr 03, 2017 09:27Mfalme wa Bahrain leo Jumatatu amesaini sheria ya kuifanyia marekebisho katiba ili kuzipatia mamlaka mahakama za kijeshi za nchi hiyo kusikiliza kesi za raia wa kawaida nchini humo.
-
Wabahrain sasa kushtakiwa kwenye mahakama za kijeshi za utawala wa Aal Khalifa
Mar 06, 2017 00:29Bunge la Bahrain limepitisha mpango uliopendekezwa na mfalme wa nchi hiyo Hamad bin Isa Al Khalifa wa kuifanyia marekebisho katiba kwa madhumuni ya kurahisisha kushtakiwa raia katika mahakama za kijeshi.
-
Maulamaa wa Bahrain wasisitiza kumuunga mkono Sheikh Issa Qassim
Feb 26, 2017 04:36Maulamaa nchini Bahrain wametoa taarifa na kusisitiza udharura wa kumtetea na kumuunga mkono Ayatullah Sheikh Issa Qassim, mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini humo anayekandamizwa na utawala wa ukoo wa Aal Khalifa.
-
Maulamaa wa Bahrain walaani uhusiano wa nchi yao na Israel
Dec 26, 2016 03:44Maulamaa nchini Bahrain wamelaani juhudi za utawala wa nchi hiyo za kuweka uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Askari usalama wa utawala wa Aal Khalifa wavamia nyumba ya Sheikh Issa Qassim
Dec 21, 2016 23:36Askari usalama wa utawala wa Bahrain wamevamia nyumba ya Sheikh Issa Qassim mwanazuoni mashuhuri wa nchini humo.
-
Utawala wa Aal Khalifa waendelea kukiuka haki za binadamu
Dec 04, 2016 04:28Utawala wa Aal Khalifa unaendelea kukiuka haki za binadamu kwa pande zote khususan katika upande wa kimadhehebu bila kujali lolote.