-
Marekani yatajwa mshirika wa jinai za utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain
Nov 13, 2016 16:33Kiongozi wa harakati ya Al-Amalul-Islami ya Bahrain amesema Marekani ni mshirika wa jinai zinazofanywa na utawala wa Aal Khalifa dhidi ya wananchi wa Bahrain.
-
Maandamano dhidi ya utawala wa Aal Khalifa yaendelea kufanyika Bahrain
Nov 05, 2016 03:36Wananchi wa Bahrain wameendelea kuandamana katika mji mkuu Manama na miji mingine ya nchi hiyo huku wakitangaza uungaji mkono wao kwa mwanazuoni mashuhuri wa nchi hiyo Ayatullah Sheikh Isa Qassim na kutoa sha'ar za kuulaani utawala wa Aal Khalifa.
-
Kushadidi ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain katika mwezi wa Muharram
Oct 05, 2016 02:45Sambamba na kuwadia Mfunguo Nne Muharram, habari kutoka Bahrain zinasema kuwa, utawala wa Aal Khalifa umezidisha vitendo vya ukandamizaji dhidi ya raia na kuwabana katika shughuli zao kidini, hatua ambazo ni kinyume kabisa na sheria za kimataifa.
-
Amnesty yailaani Bahrain kwa kuidhinisha marufuku ya al-Wefaq
Sep 23, 2016 14:06Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani vikali hatua ya mahakama ya Bahrain kudhinisha marufuku ya chama kikuu cha upinzani nchini humo, al-Wefaq.
-
Bahrain; uwanja wa malalamiko na upinzani dhidi ya utawala wa Aal Khalifa
Sep 12, 2016 15:38Katika siku za karibuni, maeneo mbalimbali ya Bahrain yamekuwa uwanja wa maandamano na mikusanyiko ya wananchi ya kupinga utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa na waungaji mkonio wake wakuu, yaani utawala wa Aal Saud.
-
Utawala wa Aal Khalifa umeshindwa kudiriki ujumbe wa mwamko wa Wabahrain
Sep 03, 2016 06:57Sheikh Issa Qassim mwanazuoni wa ngazi za juu wa Kiislamu nchini Bahrain ametoa ujumbe na kuuonya vikali ukoo wa Aal Khalifa unaotawala nchini humo kuhusu sera zake za kuzidisha mashinikizo dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia wanaodhulumiwa nchini humo.
-
Maulamaa wa Bahrain wataka viongozi wa kidini waliotiwa korokoroni waachiliwe huru
Aug 03, 2016 07:17Maulamaa wa Bahrain wametaka shakhsia wa kidini na wa kisiasa wanaoshikiliwa kwenye jela za utawala wa nchi hiyo wa Aal Khalifa waachiliwe huru.
-
Maelfu waendeleza mgomo mbele ya nyumba ya Ayatullah Qasim, Manama
Jun 28, 2016 14:06Maelfu ya Wabahrain wameendelea kufanya mgomo wa kuketi chini mbele ya nyumba ya Kiongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini huyo, Ayatullah Isa Qasim kwa siku ya nane mfululizo huku wakipiga nara zinazopinga utawala wa kifalme wa nchi hiyo.
-
Jumuiya za Kiislamu zalaani kuvuliwa uraia Sheikh Qassim
Jun 24, 2016 14:36Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu imelaani hatua ya utawala wa Aal-Khalifa kumvua uraia mwanachuoni mashuhuri wa Kiislamu nchini Bahrain Ayatullah Sheikh Isa Qassim.
-
Bahrain yamnyang'anya uraia Ayatullah Issa Qasim
Jun 20, 2016 14:25Utawala wa kizazi cha Aal Khalifa nchini Bahrain umeendeleza ukiukaji wake mkubwa wa haki za binadamu kwa kumnyang'anya uraia mwanazuoni mkubwa na mashuhuri wa Kiislamu nchini humo Ayatullah Issa Ahmad Qasim.