-
Jumatatu, Aprili 28, mwaka 2025
Apr 28, 2025 02:23Leo ni Jumatatu tarehe 29 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprili 28 mwaka 2025.
-
Leo ni Ijumaa, 28 Aprili mwaka 2023
Apr 28, 2023 06:28Leo ni Iijumaa tarehe 7 Shawwal 1444 Hijria sawa na Aprili 28 mwaka 2023.
-
Brigedia Jenerali Salami aionya Saudia, aitaka iache kuwachochea vijana wa Iran waanzishe fujo
Oct 18, 2022 03:19Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) ameionya Saudi Arabia na kuuitaka iache mchezio mchafu wa kutumia vyombo vya habari kuwachochea vijana wa Iran ili waanzishe vurugu na machafuko.
-
Iran: Saudia ni tishio linaloweza kusababisha maafa kwa usalama na amani ya eneo
Sep 28, 2019 08:11Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa radiamali kufuatia matamshhi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia dhidi ya nchi hii na kuongeza kuwa, utawala wa Aal Saud ni tishio linaloweza kusababisha maafa kwa usalama na amani ya eneo la Asia Magharibi (mashariki ya Kati).
-
Matokeo hasi ya kiuchumi ya siasa za vita za watawala wa Saudia
Jun 22, 2019 02:43Taathira hasi zinazotokana na siasa za kupenda vita za watawala wa Saudi Arabia zimeanza kuonekana wazi katika soko la hisa la nchi hiyo ya kifalme.
-
Dada yake Bin Salman kufikishwa katika mahakama ya jinai Ufaransa
Jun 14, 2019 02:26Dada yake Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia anatazamiwa kupandishwa kizimbani mwezi ujao wa Julai katika mahakama ya jinai nchini Ufaransa, akiandamwa na shitaka la kumuagiza mlinzi wake kumpiga mfanyakazi wa kiume mjini Paris.
-
Mwenendo wa kuongezeka hitalafu za ndani katika nchi za Kiarabu, kushindwa Saudi Arabia
Jun 08, 2019 02:15Mvutano unaoendelea kati ya Qatar na nchi nyingine nne za Kiarabu za Saudi Arabia, Bahrain, Imarati na Misri, ambao ulianza tarehe 5 Juni mwaka 2017, uliingia rasmi katika mwaka wake wa tatu hapo tarehe 5 mwezi Juni mwaka huu, katika hali ambayo hakuna dalili zozote zinazoonyesha kwamba mvutano huo utamalizika hivi karibuni.
-
Maimamu wa Kisuni nchini Iran walaani chinjachinja ya Saudi Arabia dhidi ya Waislamu wa Kishia
Apr 27, 2019 13:09Wajumbe wa Baraza la Wanazuoni, Kamati ya Fatwa na maimamu wa sala za Ijumaa za miji na vijiji vya Waislamu wa Kisuni vya mkoa wa Bushehr kusini mwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, wamelaani vikali hatua za utawala wa Aal Saud wa kuwanyonga raia 37 wa Saudia wengi wao wakiwa ni Waislamu wa Kishia.
-
Dunia yaendelea kulaani jinai mpya za utawala wa Saudi Arabia
Apr 25, 2019 13:46Mashirika na taasisi za kimataifa pamoja na wanaharakati wa masuala ya kijamii wanaendelea kulaani jinai ya hivi karibuni ya utawala wa Aal Saud wa Saudi Arabia ya kuwaua kwa umati raia 37 wa nchi hiyo.
-
Azma ya raia wa Saudia ya kuendeleza 'Intifadha ya Heshima' dhidi ya utawala wa Aal Saud
Feb 22, 2019 08:03Kamati za Harakati ya Wananchi nchini Saudia zimetoa taarifa kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa nane tangu ulipoanza mwamko wa 'Intifadha ya Heshima' na kusisitiza kuendeleza mwamko huo dhidi ya utawala wa Aal-Saud.