-
Aal Saud na wimbi kubwa la ukosoaji na tahadhari za haki za binadamu
Nov 11, 2018 04:36Kufuatia kuuliwa Jamal Khashoggi mwandishi habari mkosoaji wa utawala wa Aal Saud katika ubalozi mdogo wa Saudi Arabia mjini Istanbul Uturuki na kufungwa jela huko Riyadh kundi kubwa la wapinzani wa jumuiya za kiraia, kisheria na kiaidiolojia; kiongozi mmoja wa ngazi ya juu wa Saudia amekiri kuwa nchi hiyo imeonywa mara 258 na taasisi mbalimbali za kimataifa kuhusu haki za binadamu.
-
Mufti wa Libya: Faili la Wasaudi la kuua kigaidi wanazuoni na wapinzani ni jeusi mno
Nov 01, 2018 07:34Mufti Mkuu wa Libya amesema kuwa faili la watawala wa Saudia la kukiuka haki za binadamu na kuua kigaidi wanazuoni na watu wasio na hatia ni jeusi mno.
-
Saudia inatumia vibaya fedha zinazotokana na ibada ya Hija
Aug 25, 2018 13:46Kamati ya Kimataifa ya Uangalizi wa Usimamizi wa Saudia juu ya Ibada ya Hija, imesema kuwa, utawala wa Aal-Saud unatumia vibaya pato linalotokana na ibada ya Hija.
-
Matamshi ya waziri wa Saudia ya kuitetea Israel yazidi kulaaniwa
Aug 23, 2018 15:05Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa wa Muqawama na msemaji wa harakati ya Answarullah ya Yemen wamelaani vikali matamshi ya waziri wa wakfu wa utawala wa ukoo wa Aal Saud huko Saudi Arabia aliyeutetea na kuukingia kifua wazi wazi utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Saudia yamkamata Imamu na Khatibu wa Masjidul Haram
Aug 20, 2018 14:05Duru za habari zinasema wakuu wa Saudia wamemkamata Sheikh Saleh Aal Talib, Imamu na Khatibu wa Msikiti Mkuu wa Makka (Masjidul Haram) kutokana na hotuba aliyotoa kuhusu munkar au maovu na madhalimu.
-
Kufichuliwa uhusiano mkubwa uliopo baina ya Saudia na Israel
Apr 20, 2018 13:53Gazeti la al Manar la Palestina limechapisha ripoti inayosema kuwa, mfalme wa Saudi Arabia ndiye muhandisi wa uhusiano wa Wasaudia na utawala wa Kizayuni wa Israel na kuandika kuwa: Tangu mwanzoni mwa mwaka 1990, mfalme wa hivi sasa wa Saudia ana uhusiano wa karibu na Israel.
-
Ayatullah Akhtari: Mawahabi wanapingwa na wanazuoni na mataifa ya Kiislamu
Apr 13, 2018 14:29Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimatataifa ya Ahlul-Beit (AS) amesisitiza kuwa, utawala wa Aal Saud hauna nafasi yoyote si ya kielimu wala uungaji mkono wa wananchi na kwamba, akthari ya wanazuoni wa Kiislamu wanawapinga Mawahabi wa Saudi Arabia.
-
Kushadidi siasa za kibaguzi za Aal Saud nchini Saudi Arabia
Apr 12, 2018 02:34Kwa akali watu watatu wametiwa mbaroni kufuatia hujuma ya askari wa utawala wa Aal Saud katika mji wa Qatif ulioko katika mkoa wa ash-Sharqiyah nchini Saudi Arabia.
-
Syria yaitaka Saudi Arabia iache kuunga mkono makundi ya kigaidi
Mar 22, 2018 04:22Katika barua mbili zilizotumwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria kwenda Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la umoja huo, Damascus imelalamikia mwenendo wa uungaji mkono wa baadhi ya nchi kwa kushirikiana na nchi za Magharibi kwa makundi ya kigaidi nchini Syria.
-
Uwongo wa mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia kuhusu Yemen
Mar 07, 2018 08:01Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ambaye amefanya safari nchini Misri amesema mbele ya waandishi wa habari wa Misri kuwa vita vinakaribia kumalizika huko Yemen kwa sababu tayari amekwishatimiza malengo yake ya kumuunga mkono rais aliyejiuzulu wa Yemen na ambaye amekuwa akiitambua serikali yake kuwa ni serikali halali.