-
Syria yaitaka Saudi Arabia iache kuunga mkono makundi ya kigaidi
Mar 21, 2018 23:52Katika barua mbili zilizotumwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria kwenda Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la umoja huo, Damascus imelalamikia mwenendo wa uungaji mkono wa baadhi ya nchi kwa kushirikiana na nchi za Magharibi kwa makundi ya kigaidi nchini Syria.
-
Uwongo wa mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia kuhusu Yemen
Mar 07, 2018 04:31Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ambaye amefanya safari nchini Misri amesema mbele ya waandishi wa habari wa Misri kuwa vita vinakaribia kumalizika huko Yemen kwa sababu tayari amekwishatimiza malengo yake ya kumuunga mkono rais aliyejiuzulu wa Yemen na ambaye amekuwa akiitambua serikali yake kuwa ni serikali halali.
-
Aal Saud na jinamizi la ukosefu wa usalama
Feb 22, 2018 23:00Vyombo vya habari ukiwemo mtandao wa Middle East Eye vimefichua kwamba, sababu ya kupelekwa idadi kubwa ya askari wa Pakistan nchini Saudi Arabia ni kulinda kizazi cha na ukoo wa mfalme wa nchi hiyo baada ya mageuzi na mapinduzi baridi yaliyofanyika ndani ya utawala wa kifalme na kuongezeka wasiwasi na hatari inayotishia watawala wa sasa.
-
Hizbullah: Kuvunjiwa heshima Quds ni matunda ya mchezo wa kudansi na upanga wa Trump na Salman
Jan 06, 2018 13:19Mjumbe wa Baraza Kuu la Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Nabil Qaouk amezitaja siasa za Saudia kuwa za maafa na kuongeza kuwa, kitendo cha kuvunjiwa heshima mji wa Quds na msikiti wake kinatokana na mchezo wa kudansi na upanga wa Rais Donald Trump wa Marekani na Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa Saudia.
-
Aal Saud; Mzusha Mifarakano na Kizuizi cha Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 04, 2017 06:23Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Kiislamu ambacho maudhui yake inasema: "Aal Saud, mzusha mifarakano na kizuizi cha umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu". Endeleeni basi kunitegea sikio kuanzia awali hadi tamati ya kipindi hiki.
-
Mwanamfalme: Haki za binadamu zinakanyagwa sana Saudia
Nov 08, 2017 11:53Khalid bin Farhan Al Saud, Mwanamfalme ambaye amejitenga na utawala wa Aal-Saud, amesema kuwa kabla ya kuomba hifadhi ya kisiasa nchini Ujerumani, kwa muda mrefu alikuwa akiishi kwa wasiwasi na mashaka mengi nchini Saudia.
-
Harakati ya Septemba 15 yautia kiwewe utawala wa Aal Saud; wamwomba Mufti wake aitolee fatua
Sep 15, 2017 03:26Utawala wa Aal Saud nchini Saudi Arabia umekimbilia kwa Mufti Mkuu wa nchi hiyo katika hatua ya kuzuia maandamano ya amani ya upinzani yaliyoitishwa na Harakati ya Septemba 15 kufanyika nchini humo hii leo.
-
Jumatatu, 28 Agosti, mwaka 2017
Aug 27, 2017 21:47Leo ni Jumatatu tarehe sita Mfunguo Tatu Dhul-Hijja mwaka 1438 Hijria, mwafaka na tarehe 28 Agosti, mwaka 2017.
-
Muungano wa Februari 14: Mahakama za Saudia hazina tofauti na utendaji wa Daesh
Aug 12, 2017 23:25Muungano wa Februari 14 nchini Bahrain umelaani hukumu za kidhalimu zinazotolewa na mahakama za utawala wa Saudia dhidi ya wasomi wa kidini na kutangaza kuwa, hazina tofauti yoyote na mahakama za kundi la kigaidi la Daesh.
-
Israel: Wakati wa kuwekwa wazi mahusiano yetu na Saudia, umewadia
Jul 25, 2017 03:47Gazeti la utawala haramu wa Israel limezungumzia mahusiano yaliyopo baina ya Israel na Saudi Arabia na kuandika kuwa sasa umewadia wakati wa kutangazwa wazi mahusiano ya pande mbili hizo.