Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Ripoti ya kushtusha ya Umoja wa Mataifa; mauaji ya kimbari ya Wapalestina Ghaza yangali yanaendelea

    Ripoti ya kushtusha ya Umoja wa Mataifa; mauaji ya kimbari ya Wapalestina Ghaza yangali yanaendelea

    Nov 07, 2025 02:47

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mauaji ya kimbari ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza yangali yanaendelea.

  • Jumatatu, 03 Novemba, 2025

    Jumatatu, 03 Novemba, 2025

    Nov 03, 2025 02:20

    Leo ni Jumatatu tarehe 12 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 3 Novemba 2025.

  • Marufuku ya kuingia wanariadha wa utawala wa Kizayuni nchini Indonesia

    Marufuku ya kuingia wanariadha wa utawala wa Kizayuni nchini Indonesia

    Oct 27, 2025 04:30

    Indonesia inachukulia marufuku ya kuingia wanariadha wa utawala Kizayuni wa Israel katika nchi hiyo kuwa haki yake halali.

  • Hizbullah: Vita vya utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya kusini mwa Lebanon vingali vinaendelea

    Hizbullah: Vita vya utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya kusini mwa Lebanon vingali vinaendelea

    Oct 19, 2025 02:43

    Mbunge mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon Hizbullah amesisitiza kuwa, vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya maeneo ya kusini mwa Lebanon vingali vinaendelea kwa malengo maalumu na kwa sura tofauti.

  • Taa ya kijani ya Trump kwa Israel; Je vita vya Gaza vitaanza tena?

    Taa ya kijani ya Trump kwa Israel; Je vita vya Gaza vitaanza tena?

    Oct 18, 2025 02:29

    Rais Donald Trump wa Marekani ameionyesha Israel taa ya kijani ili ianzishe tena vita katika Ukanda wa Gaza.

  • Kushindwa utawala wa kizayuni Ghaza; ushindi wa Muqawama katika medani ya vita na kwenye ulingo wa siasa

    Kushindwa utawala wa kizayuni Ghaza; ushindi wa Muqawama katika medani ya vita na kwenye ulingo wa siasa

    Oct 14, 2025 02:25

    Makundi ya Muqawama wa Palestina yanasisitiza kutekelezwa matakwa yao halali na ya wananchi wa Palestina katika makubaliano ya kusitisha mapigano.

  • Mwandishi wa gazeti la kizayuni la Haaretz: HAMAS haijasambaratika na imefikia malengo yake

    Mwandishi wa gazeti la kizayuni la Haaretz: HAMAS haijasambaratika na imefikia malengo yake

    Oct 11, 2025 09:09

    Mwandishi mashuhuri wa gazeti la kizayuni la Haaretz Chaim Levinson amesema, japokuwa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imepoteza hatamu za uongozi wa Ukanda wa Ghaza, lakini imefanikiwa kufikia malengo yake mawili makuu.

  • Misri na vita vya Gaza; Kujaribu kufuata mkakati wa uwastani

    Misri na vita vya Gaza; Kujaribu kufuata mkakati wa uwastani

    Oct 09, 2025 03:10

    Kuanza vita vya Gaza baada ya operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa mnamo Oktoba 7, 2023 ulikuwa mwanzo wa mabadiliko katika sera za ndani na za kigeni za Misri.

  • Radiamali ya watumiaji X kwa mpango wa Marekani wa kusitisha vita huko Gaza: hatuamini, Trump si mwaminifu

    Radiamali ya watumiaji X kwa mpango wa Marekani wa kusitisha vita huko Gaza: hatuamini, Trump si mwaminifu

    Oct 04, 2025 09:44

    Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wamesisitiza haja ya kuwa macho dhidi ya mpango wa Rais wa Marekani wa kusitisha vita huko Gaza.

  • Mpango wa Trump wa vipengele 20, tapatapa ya kuuokoa utawala wa kizayuni usishindwe katika vita vya Ghaza

    Mpango wa Trump wa vipengele 20, tapatapa ya kuuokoa utawala wa kizayuni usishindwe katika vita vya Ghaza

    Oct 01, 2025 09:28

    Makundi ya Muqawama katika eneo hili la Asia Magharibi yakiwemo ya Jihadul-Islami ya Palestina na Ansarullah ya Yemen yameuelezea mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya Ghaza kuwa ni jaribio la kutapatapa la kuuokoa utawala wa kizayuni wa Israel usishindwe katika vita vya mauaji ya kimbari ulivyoanzisha dhidi ya eneo hilo la Palestina uliloliwekea mzingiro.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS