-
Abbas atahadharisha kuhusu uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Wakristo wa Palestina
Dec 24, 2022 22:47Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa kamwe hawatauruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwalenga Wakristo katika ardhi za Palestina.
-
Mamia ya nyumba za Wapalestina zimebomolewa tangu kuanza mwaka huu (2022)
Dec 23, 2022 08:32Mamia ya nyumba za wananchi wa Palestina zimebomolewa na utawala haramu wa Israel tangu kuanza mwaka huu wa 2022 katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds inayokaliwa kwa mabavu.
-
Mkuu wa Jeshi la Iran: Israel haitastahamili jibu kali la Iran kwa kitendo chochote cha kiadui
Dec 22, 2022 07:50Mkuu wa Jeshi la Iran anapuuzilia mbali vitisho vya kijeshi vya Israel akisema utawala huo wa Kizayuni hauwezi kustahamili jibu la Iran kwa kitendo chochote cha kiuadui kitakachofanywa na utawala huo kutokana na mivutano ya kisiasa inayoukabili kutoka kwa ndani ya maeneo yanayokaliwa kwa mabavu.
-
HAMAS: Jamii ya Kimataifa iachane na sera ya kuuma na kupuliza kuhusu jinai za Israel
Dec 19, 2022 23:05Afisa mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa sera za kuuma na kupuliza za jamii ya kimataifa kuhusiana na jinai za kila siku zinazofanywa na Wazayuni dhidi ya Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa.
-
Amir-Abdollahian: Utawala wa Israel ni tishio kubwa kwa usalama wa eneo
Dec 17, 2022 04:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema utawala wa Kizayuni ni utawala bandia, usio halali na ni tishio kubwa kwa usalama wa eneo.
-
Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Saudi Arabia; kipaumbele cha Netanyahu katika sera zake za kigeni
Dec 16, 2022 23:21Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel aliyepewa jukumu la kuunda baraza jipya la mawaziri la Israel amegusia katika mahojiano aliyofanyiwa na Shirika Rasmi la Habari la Saudia kuhusiana na uhusiano wa Riyadh na Tel-Aviv.
-
Kanani Chafi: Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zinabeba dhima ya jinai za Israel
Dec 14, 2022 04:23Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa radiamali kuhusiana na jinai ya Wazayuni ya kumuua binti mdogo wa Kipalestina na kusema kuwa, tawala za Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zinabeba dhima ya mauaji yanayofanywa na Israel kutokanan na himaya na uungaji mkono wao kkwa utawakla huo ghasibu.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
Dec 14, 2022 04:20Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Palestina: Jina la "Israel" liwekwe kwenye orodha ya tawala wauaji wa watoto
Dec 13, 2022 22:54Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameutaka Umoja wa Mataifa uliweke jina la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwenye orodha ya tawala wauaji wa watoto.
-
Kufutwa kazi mtangazaji wa TV Ujerumani kwa kuiunga mkono Palestina; utendaji wa kindumakuwili wa Magharibi
Dec 12, 2022 07:43Kanali ya televisheni ya KiKA ya Ujerumani imemfuta kazi Matondo Castlo mwendeshaji wa kipindi cha watoto baada ya kushiriki katika maandamano ya amani katika mji wa Bait Dajan huko mashariki mwa mji wa Nablus.