-
OIC yalaani jinai za utawala wa Kizayuni huko Jenin
Dec 09, 2022 23:43Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mji na kambi ya wakimbizi ya Jenin, mauaji ya Wapalestina wanne na pia hujuma dhidi ya Msikiti wa Ibrahim na shule za Palestina.
-
HAMAS: Muqawama ndiyo njia pekee ya kupambana na magaidi Wazayuni
Dec 09, 2022 06:59Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, muqawama ndiyo njia na chaguo poekee la taifa la Palestina katika kupambana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mussa Abu Marzouq: Israel itasambaratika endapo Wamagharibi wataacha kuiunga mkono
Dec 08, 2022 04:28Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, endapo madola ya Magharibi yatasitisha himaya na uungaji mkono wao kwa utawala haramu wa Israel basi siku itakayofuata utawala huo utasambaratika kikamilifu.
-
Kuongezeka operesheni za muqawama za Wapalestina Ukingo wa Magharibi na kukanganyikiwa Wazayuni
Dec 07, 2022 22:52Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umesema, umetiwa wasiwasi na kuongezeka operesheni za muqawama za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na hasa juu ya kudumu na kuendelea kwa operesheni hizo.
-
Kukiri Marekani na Israel kuhusu kutotetereshwa Iran na machafuko ya hivi karibuni
Dec 06, 2022 10:16Sambamba na himaya na uungaji mkono wa Marekani kwa wafanya fujo na machafuko nchini Iran, wachambuzi waandamizi wa masuala ya usalama wa Marekani na utawala haramu wa Israel wamekiri kwamba, Iran haijatetereshwa na machafuko hayo ya hivi karibuni.
-
Wabahrain waandamana kulaani safari ya Rais wa Israel nchini kwao
Dec 05, 2022 22:47Maandamano makubwa ya kupinga safari ya Rais Isaac Herzog wa utawala haramu wa Israel yamefanyika katika mji mkuu wa Bahrain, Manama.
-
Wanachama wa mtandao wenye uhusiano na Mossad wanyongwa nchini Iran
Dec 04, 2022 06:15Wanachama wa mtandao wa majambazi na makundi yenye uhusiano na shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamenyongwa alfajiri ya leo nchini Iran.
-
Kan'ani: Wazayuni hawana mamlaka ya kutoa maoni kuhusu haki za binadamu
Dec 02, 2022 07:20Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran mesema kuwa utawala wghasibu, wa kigaidi na wa kibaguzi wa Israel hauna mamlaka yoyote ya kimaadili ya kutoa maoni kuhusu suala la haki za binadamu.
-
Mzayuni Ben-Gvir asema ataushambulia msikiti wa al Aqsa, HAMAS yamjibu kuwa atashindwa!
Nov 28, 2022 23:58Itamar Ben-Gvir, mzayuni mwenye misimamo ya kufurutu mpaka na kiongozi wa chama cha Nguvu ya Kiyahudi ambaye amependekezwa kuwa waziri wa usalama wa ndani katika baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu, ametangaza kuwa, mnamo siku chache zijazo ataushambulia Msikiti wa Al-Aqsa.
-
Jumuiya 198 za Palestina na za kimataifa zatoa mwito kwa ICC kuchunguza jinai za Israel
Nov 28, 2022 08:06Makumi ya asasi za Palestina na za kimataifa zimeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ifanye uchunguzi kuhusu jinai zinazofanywa na Wazayuni dhidi ya wananchi wa Palestina.