Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Kwa nini nchi za Amerika ya Latini zimejiunga na safu ya wakosoaji wa Israel?

    Kwa nini nchi za Amerika ya Latini zimejiunga na safu ya wakosoaji wa Israel?

    Jun 04, 2025 02:27

    Rais Lula da Silva wa Brazil amesisitiza katika matamshi yake kwamba kinachoendelea Gaza si vita bali ni mauaji ya halaiki. Alifafanua: Tunachoshuhudia huko Gaza hivi sasa si vita kati ya majeshi mawili hata kidogo, bali kuna jeshi moja tu lenye weledi kamili ambalo linaua wanawake na watoto wa Ukanda wa Gaza.

  • Je, uhusiano wa serikali ya Julani na utawala wa Kizayuni unaelekea wapi?

    Je, uhusiano wa serikali ya Julani na utawala wa Kizayuni unaelekea wapi?

    May 31, 2025 03:40

    Vyanzo vya habari vimetangaza kuwa ujumbe unaohusiana na serikali ya mpito ya Syria umefanya mazungumzo ya siri na viongozi wa utawala haramu wa Israel.

  • Jumamosi, 31 Mei, 2025

    Jumamosi, 31 Mei, 2025

    May 31, 2025 02:20

    Leo ni Jumamosi 4 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1446 Hijria sawa na 31 Mei 2025 Miladia.

  • Je, kwa nini Ujerumani, muungaji mkono mkubwa zaidi wa Ulaya kwa utawala wa Kizayuni, sasa inaonekana kuukosoa utawala huo?

    Je, kwa nini Ujerumani, muungaji mkono mkubwa zaidi wa Ulaya kwa utawala wa Kizayuni, sasa inaonekana kuukosoa utawala huo?

    May 29, 2025 06:18

    Friedrich Mertz, Kansela wa Ujerumani alibadilisha sauti yake kuhusiana na utawala wa Kizayuni mnamo Jumanne, Mei 27 na kusema: "Mashambulio makubwa ya kijeshi ya Waisraeli katika Ukanda wa Gaza hayana mantiki tena kwangu."

  • Jumamosi, 24 Mei, 2025

    Jumamosi, 24 Mei, 2025

    May 24, 2025 02:31

    Leo ni Jumamosi 26 Mfunguo Pili Dhul-Qaadah 1446 Hijria, mwafaka na 24 Mei 2025 Miladia.

  • Amnesty International yataka mataifa ya Ulaya yaisusie kikamilifu Israel

    Amnesty International yataka mataifa ya Ulaya yaisusie kikamilifu Israel

    May 22, 2025 12:51

    Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetoa wito wa kususiwa kabisa utawala wa Kizayuni wakati huu ambapo baadhi ya mataifa ya bara Ulayaa yanachukua hatua za kuutenga utawala huo kutokana na jinai zake huko Gaza.

  • Kwa nini Uhispania imeongeza mashinikizo dhidi ya Israel?

    Kwa nini Uhispania imeongeza mashinikizo dhidi ya Israel?

    May 22, 2025 02:18

    Bunge la Uhispania limepitisha muswada unaoitaka serikali ya nchi hiyo kuacha kuuzia utawala ghasibu wa Israel zana zozote za kijeshi.

  • Kharrazi: Dunia ya kambi moja imeyoyoma, kuna haja ya mazungumzo ya kikanda

    Kharrazi: Dunia ya kambi moja imeyoyoma, kuna haja ya mazungumzo ya kikanda

    May 21, 2025 07:33

    Mkuu wa Baraza la Mahusiano ya Kigeni la Iran amesisitiza kuwa mfumo wa kambi moja umeyoyoma na sasa kumeibuka madola yenye nguvu ya kikanda na kusema: "Suluhisho pekee la changamoto za Mashariki ya Kati ni mazungumzo ya moja kwa moja kati ya nchi za eneo hilo bila ya uingiliaji wa madola ya nje ya kanda hiyo."

  • Yair Golan: Vita vya Gaza lazima visitishwe haraka iwezekanavyo

    Yair Golan: Vita vya Gaza lazima visitishwe haraka iwezekanavyo

    May 14, 2025 06:30

    Mkuu wa Chama cha Kidemokrasia cha utawala wa Kizayuni wa Israel ametaka kusimamishwa vita haraka iwezekanavyo dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.

  • Katibu Mkuu wa Hizbullah: Muqawama utaendelea hadi ushindi kamili

    Katibu Mkuu wa Hizbullah: Muqawama utaendelea hadi ushindi kamili

    May 09, 2025 07:39

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema Muqawama utaendelea hadi ushindi kamili utakapopatikana na kuangamizwa kikamilifu utawala ghasibu na vamizi wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS