-
Jumuiya ya Maulama wa Kiislamu yataka kuchukuliwa hatua za kukabiliana na jinai za Wazayuni
Mar 16, 2019 11:35Jumuiya ya Kimataifa ya Maulama wa Kiislamu imeyataka mataifa ya Kiislamu kutumia nyenzo na suhula zote yalizonazo ili kuhitimisha jinai za Wazayuni maghasibu dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa.
-
Israel yatumia madai ya kufyatuliwa maroketi kuanzisha hujuma na mashambulio mapya dhidi ya Gaza
Mar 14, 2019 23:58Utawala wa Kizayuni wa Israel umezusha tena madai ya kufyatuliwa maroketi kutoka eneo la Ukanda wa Gaza ili kupata kisingizio cha kuyashambulia kijeshi maeneo ya Wapalestina huhusan eneo hilo uliloliwekea mzingiro.
-
Wananchi wa Jordan wataka kutimuliwa balozi wa Israel katika nchi yao
Mar 14, 2019 04:35Wanaharakati wa Jordan na Palestina wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Amman na kutaka kufukuzwa mjini humo balozi wa utawala haramu wa Israel.
-
Bouthaina Shaaban: Chanzo cha ugaidi katika eneo ni utawala wa Kizayuni
Mar 10, 2019 10:42Mshauri wa Masuala ya Kisiasa na Habari wa Rais wa Syria amesema kuwa chanzo cha ugaidi huko Syria, Yemen, Iraq na Libya ni utawala wa Kizayuni.
-
Syria: Hatutosita kukabiliana na ukaliwaji mabavu wa milima yetu ya Golan
Mar 06, 2019 10:42Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Faisal Mekdad amesisitiza kwamba, serikali ya Damascus haitosita kukabiliana na njama za utawala haramu wa Israel zenye lengo la kuendelea kuikalia kwa mabavu milima ya Golan.
-
Wanajeshi wa Kiafrika wapewa mafunzo na wanajeshi wa Kizayuni kwa melengo ya ugaidi
Mar 04, 2019 23:41Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimeripoti kuwa wanajeshi katika zaidi ya nchi kumi za Kiafrika wanapatiwa mafunzo na wanajeshi wa Israel kwa malengo ya ugaidi.
-
Vijana wawili wa Kipalestina wauawa shahidi kwa kupigwa risasi na Wazayuni
Mar 04, 2019 04:38Vijana wawili wadogo wa Kipalestina wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa utawala haramu wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yaunga mkono ripoti ya UN kuhusu jinai za Israel
Mar 01, 2019 04:43Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League, imeunga mkono ripoti ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa kuhusu jinai ambazo zinatendwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Riyadh al-Maliki: Hali ya Palestina ni ya maafa makubwa
Feb 28, 2019 04:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina amesema hali ya mambo huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ni ya maafa na ametaka Umoja wa Mataifa uchukue hatua za kufuatilia ukiukaji haki za binadamu unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kukiri Umoja wa Mataifa kwamba Israel inayasaidia magenge ya kigaidi
Feb 26, 2019 03:12Ofisi ya António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa imekiri kwamba utawala wa Kizayuni wa Israel unayasaidia magenge ya kigaidi.