-
Hizbullah: Marekani haiwezi kamwe kubadili msimamo wa muqawama
Feb 25, 2019 01:40Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, misimamo ya Marekani ni misimamo ya kidhalimu, kidikteta na inayokinzana na maslahi ya mataifa ya eneo la Mashariki ya Kati na hivyo haitaweza kubadili misimamo ya muqawama.
-
Wazayuni waanzisha vita vya kudumu vya kukiteka Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Feb 19, 2019 23:23Mkuu wa Baraza la Taifa la Palestina ameashiria hatua za hivi karibuni za Wazayuni katika Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu na kusema kuwa, utawala wa Kizayuni umeanzisha vita vya kudumu kwa shabaha ya kuugawa msikiti huo baina ya Waislamu na Wazayuni kwa mujibu wa wakati na eneo.
-
Mtangazaji wa televisheni Israel: Askari wa Israel ni dhihirisho la ukatili wa binaadamu
Feb 19, 2019 00:26Mtangazaji wa televisheni ya utawala haramu wa Kizayuni Israel amekiri kwamba askari wa utawala huo ni dhihirisho la ukatili wa binaadamu.
-
Poland yamwita balozi wa Israel kulalamikia madai bandia ya Netanyahu kuhusu Holocaust
Feb 15, 2019 12:29Wizara ya Mambo ya Nje ya Poland imemsaili balozi wa utawala haramu wa Israel mjini Warsaw kufuatia matamshi yasiyo na mashiko ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo kuhusiana na kadhia ya Holocaust.
-
Harakati ya Al-Wifaq: Utawala wa Bahrain na Israel zina maslahi ya pamoja
Feb 14, 2019 04:39Harakati ya Al-Wifaq nchini Bahrain imetangaza kuwa, utawala wa kifamilia wa nchi hiyo wa Aal-Khalifa na utawala haramu wa Israel zina maslahi na manufaa ya pamoja.
-
Chuki dhidi ya Waisraeli yaongezeka kwa 74% nchini Ufaransa
Feb 12, 2019 23:02Serikali ya Ufaransa imesema vitendo na matamshi ya chuki dhidi ya Mayahudi wanaoishi katika nchi hiyo ya Ulaya yameongezeka kwa asilimia 74, rekodi ambayo haijawahi kushuhudiwa tena.
-
Israel yaendelea kuiuzia silaha serikali ya Myanmar licha ya mauaji dhidi ya Waislamu
Feb 09, 2019 00:16Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeandika kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kuiuzia silaha serikali ya Myanmar.
-
Avigdor Lieberman ataka kuanzishwa tena siasa za kuwaua Wapalestina
Feb 08, 2019 11:30Waziri wa zamani wa Vita wa utawala haramu wa Israel ametoa wito wa kuanzishwa tena siasa za mauaji dhidi ya viongozi na wanamapambano wa Kipalestina huko katika Ukanda wa Gaza.
-
Makumi ya Walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Feb 08, 2019 11:22Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Hizbullah: Tumejitayarisha kukabiliana na hujuma tarajiwa ya utawala wa Kizayuni
Feb 05, 2019 00:13Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon amesisitiza kuwa wanamapambano wa muqawama wamejiweka tayari kwa ajili ya kukabiliana na hujuma tarajiwa ya utawala haramu wa Israel.