-
Viongozi wa kijeshi wa Israel wakiri kuwepo hali ya hofu kati ya askari wa utawala huo
Feb 04, 2019 10:39Naibu mkuu wa majeshi ya utawala haramu wa Israel, Yair Golan ameelezea kuwepo hali ya kukata tamaa kati ya askari wa utawala huo.
-
Brigedia Jenerali Salami: Endapo Israel itaanzisha vita vipya itafutwa katika uso wa dunia
Jan 28, 2019 23:47Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, endapo utawala haramu wa Israel utaanzisha vita vipya, hapana shaka kuwa, vita hivyo ndivyo vitakavyopelekea utawala huo kufutwa katika uso wa dunia.
-
Iraq yaionya Israel: Msifikirie kabisa kushambulia ardhi yetu
Jan 27, 2019 23:14Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq ametoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel na kuuonya usifikirie kabisa kushambulia ardhi ya nchi hiyo.
-
Israel yapatwa na kiwewe, yaamua kuweka ngao ya makombora Tel Aviv
Jan 25, 2019 04:34Kufuatia kushdidi mvutano katika miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na kadhalika Ukanda wa Gaza, vyombo vya habari vya utawala harakamu wa Kizayuni vimetangaza kwamba, Israel imeamua kuweka ngao ya chuma ya kuzuia makombora mjini Tel Aviv, mji mkuu wa utawala huo bandia.
-
Hamas yauonya utawala haramu wa Israel juu ya matokeo mabaya ya hujuma zake
Jan 23, 2019 13:22Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya utawala haramu wa Israel juu ya matokeo mabaya ya hujuma na uvamizi wake dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza.
-
Mwanahistoria Mzayuni: Hadi miaka 30 ijayo Israel itakuwa imeshatoweka
Jan 19, 2019 12:04Benny Morris, mwanahistoria mashuhuri wa Kizayuni amesema: Hadi miaka 30 ijayo Israel haitakuwepo tena, na Wazayuni watageuka kuwa jamii ndogo ya wachache.
-
Israel yakiri kuwapa msaada wa silaha wapinzani wa serikali ya Syria
Jan 16, 2019 00:58Mkuu wa Majeshi ya Utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa utawala huo umekuwa ikiwapa silaha wapinzani wa serikali ya Syria.
-
HAMAS yaionya Israel isiendelee kuushambulia Ukanda wa Ghaza
Jan 13, 2019 12:35Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS leo imetoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel na kuuonya kuhusu madhara ya uchokozi wake katika Ukanda wa Ghaza.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Jan 11, 2019 00:43Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia tena Msikiti wa al-Aqswa wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Vibaraka 45 wa utawala wa Kizayuni watiwa mbaroni Ukanda wa Ghaza
Jan 09, 2019 06:01Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Taifa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukanda wa Ghaza imetangaza habari ya kutiwa mbaroni raia 45 wa Palestina wanaotuhumiwa kushirikiana na kuufanyia ujasusi utawala haramu wa Israel.