Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Gazeti la Haaretz la Kizayuni laitaja Israel kuwa ndio gaidi na sio vijana wa Palestina

    Gazeti la Haaretz la Kizayuni laitaja Israel kuwa ndio gaidi na sio vijana wa Palestina

    Apr 09, 2018 22:19

    Gazeti mashuhuri la utawala haramu wa Kizayuni la Haaretz, sambamba na kukosoa siasa mbovu za Tel Abviv dhidi ya raia wa Palestina limeandika kuwa, Israel ndio gaidi na sio vijana wa Kipalestina.

  • Israel yaanza tena kujenga ukuta wa kibaguzi katika mpaka wa Lebanon

    Israel yaanza tena kujenga ukuta wa kibaguzi katika mpaka wa Lebanon

    Apr 09, 2018 02:27

    Utawala wa Kizayuni jana Jumapili ulianza tena kujenga ukuta wake wa kibaguzi kati ya mpaka wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu na Lebanon.

  • Spika wa Bunge la Morocco alaani ukatili wa Israel Ukanda wa Gaza

    Spika wa Bunge la Morocco alaani ukatili wa Israel Ukanda wa Gaza

    Apr 06, 2018 00:05

    Spika wa Bunge la Morocco amesema kuwa vitendo vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.

  • Wapalestina wamlaani Mrithi wa Ufalme Saudia kwa kutumikia Israel

    Wapalestina wamlaani Mrithi wa Ufalme Saudia kwa kutumikia Israel

    Apr 03, 2018 22:00

    Makundi ya kupigania ukombozi wa Wapalestina yamelaani vikali matamshi ya Mrithi wa Ufalme wa Saudia Mohammad bin Salman kufuatia hatua yake ya kutangaza kuwa anautambua utawala haramu wa Israel na kusema tamko hilo linakiuka wazi malengo matukufu ya Wapalestina.

  • Leo ni Jumanne tarehe 3 Aprili 2018

    Leo ni Jumanne tarehe 3 Aprili 2018

    Apr 02, 2018 21:57

    Leo ni Jumanne tarehe 16 Rajab 1439 Hijria sawa na Aprili 3, 2018.

  • Israel yatishia kwamba huwenda mwaka huu 2018 itapigana vita kali na Hizbullah ya Lebanon

    Israel yatishia kwamba huwenda mwaka huu 2018 itapigana vita kali na Hizbullah ya Lebanon

    Apr 02, 2018 10:37

    Mkuu wa Jeshi la Utawala Haramu za Israel, Gadi Eizenkot amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa utawala huo ukapigana vita vikali na angamizi kati yake na Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon.

  • Iran: Marekani ni mtuhumiwa nambari moja wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    Iran: Marekani ni mtuhumiwa nambari moja wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    Apr 01, 2018 12:46

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Bunge la Iran amelaani vikali jinai ya Wazayuni ya kuua raia wa Palestina katika maandamano ya amani yaliyofanyika Ukanda wa Gaza katika Siku ya Ardhi na kusisitiza kuwa, Marekani ndio mtuhumiwa nambari moja wa jinai hizo zilizofanywa na askari wa Israel.

  • Palestina yakaribisha maazimio ya UN dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Palestina yakaribisha maazimio ya UN dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Mar 25, 2018 23:49

    Msemaji wa serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Palestina amekaribisha kupasishwa katika Umoja wa Mataifa maazimio matano ya haki za binadamu dhidi ya utawala wa Kizayuni.

  • Merkel: Kujiondoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA kutaanzisha vita

    Merkel: Kujiondoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA kutaanzisha vita

    Mar 21, 2018 04:06

    Vyombo vya habari vya Kizayuni vimetangaza kuwa, Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amemtahadharisha Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa nchi za Ulaya zitakuwa pamoja na Iran iwapo Marekani itajiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia na Iran ya JCPOA.

  • Wasi wasi wa Saudia waipelekea ikabidhi viwanja vyake vya ndege kwa Israel

    Wasi wasi wa Saudia waipelekea ikabidhi viwanja vyake vya ndege kwa Israel

    Mar 19, 2018 04:23

    Kufuatia wasi wasi wa uwezekano wa kutoroka nchi wanawafalme wa ukoo wa Aal-Saud, utawala wa Aal- Saud umeamua kuukabidhi utawala haramu wa Israel usimamizi wa viwanja vyake vya ndege.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS