-
Olmert: Tulishindwa na Hizbullah katika vita; ufisadi wa Netanyahu hautasawariki
Mar 17, 2018 00:51Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba jeshi la utawala huo dhalimu lilishindwa na Hizbullah ya Lebanon katika vita vya mwaka 2006.
-
Magaidi wa Daesh wanatumia kadi za simu za Israel nchini Misri
Mar 14, 2018 04:30Mtandao mmoja wa Intaneti wa Israel umesema kuwa, magaidi wa genge la wakufurishaji la Daesh walioko katika jangwa la Sinai la kaskazini mwa Misri, wanatumia kadi za simu za mashirika ya Kizayuni kufanya operesheni zao ndani ya ardhi ya Misri.
-
Jumatano tarehe 14 Machi, 2018
Mar 13, 2018 23:12Leo ni Jumatano tarehe 25 Jamadithani 1439 Hijria sawa na Machi 14, 2018
-
Wanachuo 340 wa Kipalestina wanashikiliwa katika magereza ya Israel
Mar 12, 2018 04:21Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Palestina ametangaza kuuwa, kwa sasa wanachuo 340 wa Kipalestina wanashikiliwa katika magereza mbalimbali ya utawala haramu wa Israel.
-
Mjumbe wa PLO: Iran ndio watetezi pekee wa Palestina la Lebanon mbele ya Israel
Mar 06, 2018 13:44Abbas Zaki, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesema kuwa, Iran ndio nchi pekee inaowatetea raia wa Palestina na Lebanon mbele ya sera za kupenda kujitanua na mabavu ya utawala haramu wa Israel.
-
Wananchi Saudia wakasirishwa na uhusiano wa wazi wa nchi yao na Israel
Mar 05, 2018 00:32Gazeti la al Quds al Arabi limeripoti kuwa, kitendo cha gazeti la mtandaoni la Sabq la nchini Saudi Arabia cha kufanya mahojiano na kuhani mmoja Mzayuni kimewakasirisha mno wananchi wa nchi hiyo ambao wamedhihirisha hasira kubwa katika kurasa za Intaneti na mitandao ya kijamii.
-
Kongamano la kuwapinga Wazayuni wa Israel lafanyika nchini Marekani
Mar 03, 2018 12:46Jarida la Washington Report kwa kushirikiana na kitengo cha Mashariki ya Kati cha Taasisi ya Utafiti ya Marekani limetangaza habari ya kufanyika kongamano la kuipinga Israel mjini Washington.
-
Baada ya miaka 19 TV ya Al-Manar yaonyesha taswira ya kuangamizwa kamanda wa jeshi la Israel na Hizbullah
Mar 03, 2018 04:26Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimesema kuonyeshwa na kanali ya televisheni ya Al-Manar ya Lebanon taswira ya kuangamizwa kamanda mmoja wa jeshi la utawala huo miaka 19 iliyopita kunabeba ujumbe wa vita vya kinafsi na kisaikolojia vinavyoendeshwa na harakati ya Hizbullah dhidi ya Tel Aviv.
-
Israel: Tumepoteza uwezo wetu mkubwa mbele ya harakati ya Hizbullah na Hamas
Mar 03, 2018 01:38Kamanda wa vikosi vya ardhini vya utawala haramu wa lsrael amekiri kwamba, jeshi la utawala huo limepoteza uwezo wake mkubwa mkabala wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Harakati ya muqawama wa Palestina HAMAS.
-
Boroujerdi: Iran haina mahusiano yoyote ya kiuchumi, kimichezo na kisiasa na Israel
Mar 02, 2018 10:26Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Alaeddin Boroujerdi sambamba na kubainisha kwamba michezo ni sehemu ndogo ya mahusiano yaliyokatwa mapema kati ya Iran na Israel, amesema kuwa mfumo wa Iran ya Kiislamu kamwe hauna mahusiano ya kiuchumi na kisiasa na utawala huo bandia.