-
Jumamosi, 24 Februari, 2018
Feb 23, 2018 21:16Leo ni Jumamosi tarehe 7 Mfunguo Tisa Jamadi Thani 1439 Hijria mwafaka na tarehe 24 Februari 2018 Miladia.
-
Hamas: Matamshi ya Haley yanadhihirisha uadui wa Marekani dhidi ya Wapalestina
Feb 21, 2018 11:07Afisa wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa matamshi yaliyotolewa na mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Nikki Haley yamedhihirisha tena uadui wa serikali ya Washington dhidi ya watu wa Palestina.
-
Hizbullah yasisitiza tena kwamba, itakabiliana vilivyo na uvamizi wa Wazayuni
Feb 20, 2018 00:52Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon kwa mara nyingine tena imesisitiza kwamba, itakabiliana vilivyo na uvamizi wa aina yoyote ile wa utawala haramu wa Israel dhidi ya ardhi ya Lebanon.
-
Maandamano dhidi ya Israel yaendelea nchini Tunisia
Feb 19, 2018 12:12Mamia ya wanaharakati wa kisiasa na kijamii wa nchini Tunisia kwa mara nyingine wamefanya maandamano wakilitaka bunge la nchi hiyo lifanye haraka kupitisha sheria ambayo itatamka wazi kuwa ni uhalifu kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel
-
Brigedia Jenerali Salami: Viongozi wa Marekani na Israel ni wasanii wenye vioja
Feb 19, 2018 04:36Naibu Kamanda Mkuu wa jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema katika radiamali yake kwa maonyesho ya kipropaganda ya Waziri Mkuu wa Israel katika mkutano wa usalama wa Munich Ujerumani kwamba, viongozi wa Marekani na Israel wamegeuka kuwa wasanii wenye vioja.
-
Maandamano dhidi ya Israel nchini Tunisia
Feb 18, 2018 04:03Wananchi wa Tunisia wameandamana kuunga mkono rasimu ya sheria ya kupiga marufuku uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Velayati: Muqawama utawatimua Marekani, Wazayuni Euphrates Mashariki
Feb 17, 2018 13:41Afisa wa ngazi za juu nchini Iran amesema harakati ya muqawama katika eneo itaitimua Marekani na utawala haramu wa Kizayuni kutoka eneo la Mashariki mwa Mto Euphrates ambao unatiririka kutoka Uturuki na kupitia Syria hadi Iraq.
-
Jumatano tarehe 14 Februari 2018
Feb 14, 2018 08:21Leo ni Jumatano tarehe 27 Jamadil Awwal 1439 Hijria sawa na tarehe 14 Februari 2018.
-
Madai ya James Mattis dhidi ya Iran katika kuikingia kifua Israel
Feb 12, 2018 11:01Waziri wa Ulinzi wa Marekani akiwa na lengo la kutetea uvamizi wa utawala haramu wa Israel huko Syria na dhidi ya mhimili wa muqawama amedai kwamba, Iran ndio tatizo kubwa katika Mashariki ya Kati.
-
Hizbullah: Stratijia mpya ya kupambana na uvamizi wa Israel nchini Syria imeanza rasmi
Feb 11, 2018 04:14Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon imetoa taarifa ya kupongeza kitendo cha kuangamizwa ndege ya kisasa ya kivita ya utawala haramu wa Israel ya F16 katika anga ya Syria na kusisitiza kuwa, mlingano wa nguvu wa zamani sasa umebadilika.