-
Mwakilishi wa UN ataka kususiwa Israel, Marekani yapinga
Oct 28, 2017 12:09Ofisi ya mwakilishi wa Mrekani katika Umoja wa Mataifa imekosoa msimamo wa Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Jumamosi, Oktoba 28, 2017
Oct 27, 2017 23:05Leo ni Jumamosi tarehe 8 Mfunguo Tano Safar 1439 Hijria mwafaka na tarehe 28 Oktoba 2017 Miladia.
-
Velayati: Mhimili wa muqawama unaendelea kuwa imara mbele ya njama za Uzayuni na Marekani
Oct 25, 2017 23:08Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesisitiza kuwa mhimili wa muqawama unaendelea kuwa imara mbele ya njama na Uzayuni na Marekani na kukabiliana na hatua za pande hizo za kuzigawa na kuzidhoofisha nchi za eneo hili.
-
Walowezi wa Kizayuni wauhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa
Oct 22, 2017 11:02Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa na kuvunjia heshima eneo hilo takatifu la Kiislamu.
-
Israel yaendelea kuwasaida magaidi wanaopumua pumzi za mwisho Syria, yashambulia jeshi la serikali
Oct 20, 2017 01:10Katika kuendelea uungaji mkono wa jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwa makundi ya kigaidi na ukufurishaji yanayotaka kuiangusha serikali halali ya Syria, kwa mara nyingine jeshi la utawala haramu wa Kizayuni limeshambulia maeneo ya jeshi la Syria katika maeneo ya mpaka wa nchi hiyo.
-
Israel yapatwa na presha baada ya visima vya mafuta vya Kirkuk kudhibitiwa na serikali ya Baghdad
Oct 18, 2017 11:44Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umekumbwa na wasi wasi na wahka mkubwa kutokana na Wakurdi kuondolewa katika visima vya mafuta vya eneo la Kirkuk na kisha kudhibitiwa na jeshi la serikali kuu ya Iraq.
-
Radiamali ya Hamas kwa masharti ya utawala wa Kizayuni ili kukubali mapatano ya Wapalestina
Oct 18, 2017 04:21Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema kuwa inapinga mashatri yaliyotolewa na utawala wa Kizayuni ili kukubali mapatano ya kitaifa ya Wapalestina na kusisitiza kuwa mashatri hayo ni uingiliaji wa masuala ya Palestina.
-
Nchi za Afrika zatahadharishwa kuhusu harakati za Israel za kutaka kuwa na ushawishi barani humo
Oct 15, 2017 23:39Makundi mbalimbali ya kisiasa ya Tunisia yamezitahadharisha nchi za Afrika kuhusu harakati zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel za kutaka kuwa na ushawishi barani humo.
-
Jumamosi, 14 Oktoba, 2017
Oct 14, 2017 00:47Leo ni Jumamosi tarehe 23 Mfunguo Nne Muharram 1439 Hijria mwafaka na tarehe 14 Oktoba 2017 Miladia.
-
Wabahrain waandamana kupinga kuanzishwa uhusiano na Israel
Oct 13, 2017 12:02Watu wa Bahrain wameandamana kulaani vikali mpango wa ufalme wa nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.