Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Ayatullah Amoli Larijani: Utawala wa Kizayuni unatekeleza siasa za kuigawa Iraq

    Ayatullah Amoli Larijani: Utawala wa Kizayuni unatekeleza siasa za kuigawa Iraq

    Oct 09, 2017 10:50

    Mkuu wa Chombo cha Mahakama nchini Iran amesema kuwa kufanyika kura ya maoni ya kujitenga eneo la Kurdistan huko Iraq ni njama moja inayotekelezwa na madola ya kiistikbari khususan utawala wa Kizayuni ili kulishughulisha eneo hili.

  • Harakati za Israel za kutaka kupenya katika Umoja wa Afrika

    Harakati za Israel za kutaka kupenya katika Umoja wa Afrika

    Oct 07, 2017 23:12

    Balozi wa Palestina nchini Ethiopia amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unafanya harakati za kutaka kupenya katika Umoja wa Afrika.

  • "Wazayuni ndio watu wanaogopa kifo zaidi duniani"

    Oct 05, 2017 00:49

    Kituo kimoja wa Kizayuni kimetangaza data zilizotolewa na kituo cha kukusanya takwimu za hoteli za kimataifa na kukiri kuwa, Wazayuni ni watu nambari moja kwa woga na kuogopa kifo duniani.

  • Hamas: Utawala wa Kizayuni ndio unaopata hasara kutokana na umoja wa Wapalestina

    Hamas: Utawala wa Kizayuni ndio unaopata hasara kutokana na umoja wa Wapalestina

    Oct 04, 2017 12:52

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, utawala wa Kizayuni ndio unaopata hasara zaidi unapokuwepo umoja na mshikamano kati ya Wapalestina na ndio maana utawala huo wakati wote unafanya njama za kuyazozanisha makundi ya Palestina.

  • Utawala wa Kizayuni umekumbwa na wasiwasi kufuatia kuwekwa katika orodha nyeusi ya UN

    Utawala wa Kizayuni umekumbwa na wasiwasi kufuatia kuwekwa katika orodha nyeusi ya UN

    Sep 28, 2017 10:43

    Rais wa Utawala wa Kizayuni amebainisha wasiwasi wake kuhusu orodha iliyotayarishwa na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa dhidi ya utawala huo kuhusu nchi zinazokiuka haki za binadamu.

  • Utawala wa Kizayuni wauzuia ujumbe wa bunge la Ulaya kuingia Ghaza

    Utawala wa Kizayuni wauzuia ujumbe wa bunge la Ulaya kuingia Ghaza

    Sep 19, 2017 03:24

    Utawala wa Kizayuni umekataa kuuruhusu ujumbe wa bunge la Ulaya kulizuru eneo la Ghaza kwa lengo la kuchunguza hali mbaya ya kibinadamu iliyosababishwa katika eneo hilo na mzingiro wa kiuchumi wa utawala huo wa Kizayuni.

  • Ubalozi mdogo wa Israel wafungwa New York, Netanyahu atishiwa kuuawa

    Ubalozi mdogo wa Israel wafungwa New York, Netanyahu atishiwa kuuawa

    Sep 16, 2017 03:47

    Ubalozi mdogo wa utawala haramu wa Israel mjini New York, Marekani umefungwa baada ya kupokea vitisho.

  • Mkutano wa utawala wa Kizayuni wa Israel na nchi za Afrika waakhirishwa

    Mkutano wa utawala wa Kizayuni wa Israel na nchi za Afrika waakhirishwa

    Sep 12, 2017 00:17

    Wizara ya Mambo ya Nje ya utawala wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa mkutano wa utawala huo na nchi za Afrika uliokuwa umepangwa kufanyika mwezi ujao nchini Togo umeakhirishwa hadi wakati mwengine.

  • Mrithi wa Ufalme wa Saudia alifanya safari ya siri Israel

    Mrithi wa Ufalme wa Saudia alifanya safari ya siri Israel

    Sep 12, 2017 00:09

    Tovuti moja ya habari ya Kizayuni imeripoti kuwa Muhammad bin Salman, mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia wiki iliyopita alifanya safari ya siri huko Tel Aviv ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu.

  • Katibu wa Kamati ya PLO: Ujenzi wa vitongoji katika ardhi za Palestina umeongezeka kwa asilimia 85

    Katibu wa Kamati ya PLO: Ujenzi wa vitongoji katika ardhi za Palestina umeongezeka kwa asilimia 85

    Sep 06, 2017 23:49

    Katibu wa kamati ya utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesema ujenzi na upanuzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Wapalestina umoengezeka kwa asilimia 85 katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Agosti mwaka huu kulinganisha na kipindi kama hicho katika mwaka uliopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS