Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Mtandao wa Salon: Marekani na Israel Zinaficha Ukweli Kuhusu Vita vya Gaza

    Mtandao wa Salon: Marekani na Israel Zinaficha Ukweli Kuhusu Vita vya Gaza

    Jan 20, 2025 07:30

    Mwandishi wa habari mashuhuri wa Marekani ameeleza mbinu zinazotumiwa na Marekani na utawala ghasibu wa Israel kuficha jinai za Wazayuni katika vita vya Gaza.

  • HAMAS: Tumewalazimisha wavamizi kusimamisha uvamizi na uchokozi wao

    HAMAS: Tumewalazimisha wavamizi kusimamisha uvamizi na uchokozi wao

    Jan 19, 2025 11:41

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa: Adui Mzayuni ameshindwa kufikia malengo yake na kulazimika kusimamisha uchokozi wake.

  • Chama cha Ben-Gvir chajitoa kwenye serikali ya Israel kupinga makubaliano ya usitishaji vita Ghaza

    Chama cha Ben-Gvir chajitoa kwenye serikali ya Israel kupinga makubaliano ya usitishaji vita Ghaza

    Jan 19, 2025 10:40

    Chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha Nguvu za Kiyahudi (Otzma Yehudit) cha waziri wa usalama wa ndani Itamar Ben-Gvir kimejiondoa kwenye serikali ya muungano ya utawala wa Kizayuni kulalamikia makubaliano ya kusitishwa vita katika Ukanda wa Ghaza.

  • Yemen yaitwanga meli ya kivita ya Marekani kwa mara ya saba

    Yemen yaitwanga meli ya kivita ya Marekani kwa mara ya saba

    Jan 18, 2025 06:44

    Msemaji wa Jeshi la Yemen ametangaza kuwa, jeshi la nchi hiyo limefanya operesheni nne za kijeshi dhidi ya utawala wa Kizayuni na Marekani, muhimu zaidi ikiwa ni kuishambulia manuwari ya kubebea ndege ya Marekani iitwayo "Truman" kaskazini mwa Bahari Nyekundu.

  • Mwanadiplomasia wa zamani wa US: Jinai za Ghaza 'zitamsakama' Blinken hadi mwisho wa maisha yake

    Mwanadiplomasia wa zamani wa US: Jinai za Ghaza 'zitamsakama' Blinken hadi mwisho wa maisha yake

    Jan 18, 2025 03:24

    Mwanadiplomasia wa Marekani aliyejiuzulu mwaka jana kulalamikia vita vya Ghaza na uungaji mkono wa Washington kwa vita hivyo amesema, jinai zilizofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika vita hivyo 'zitamsakama' waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Antony Blinken kwa muda wote uliosalia wa maisha yake.

  • Sullivan: Enzi ya ukuu wa Marekani imekwisha

    Sullivan: Enzi ya ukuu wa Marekani imekwisha

    Jan 16, 2025 02:36

    Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Ikulu ya Rais wa Marekani, White House, amekiri kwamba: Zama za Marekani kuwa juu zaidi ya nchi nyingine zimekwisha na kuyoyoma.

  • Rais wa Argentina apewa tuzo kwa kuunga mkono mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza!

    Rais wa Argentina apewa tuzo kwa kuunga mkono mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza!

    Jan 16, 2025 02:36

    Rais wa Argentina amepewa tuzo maalumu ya Wazayuni, "Tuzo ya Nobel ya Kiyahudi," kutokana na "uungaji mkono wake usio na mipaka kwa Israel" katika uhalifu na mauaji ya kimbari yanayofanyika huko Gaza.

  • Yemen yazishambulia Tel Aviv na bandari ya Eilat kwa droni na makombora

    Yemen yazishambulia Tel Aviv na bandari ya Eilat kwa droni na makombora

    Jan 15, 2025 07:40

    Msemaji wa jeshi la Yemen amesema kuwa jeshi hilo limetekeleza oparesheni mbili za ndege zisizo na rubani na makombora dhidi ya shahaba zilizokusudiwa huko Tel Aviv na katika bandari ya Eilat katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.

  • Wapalestina wengine 19 wauawa shahidi

    Wapalestina wengine 19 wauawa shahidi

    Jan 14, 2025 03:10

    Wapalestina wengine 19 wameuawa shahidi katika muendelezo wa jinai za utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

  • Makamanda wengi wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa Ghaza

    Makamanda wengi wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa Ghaza

    Jan 13, 2025 03:30

    Brigedia Jenerali mstaafu wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amefichua kuwa asilimia 80 ya makamanda wa Brigedi ya Givati wameuawa au kujeruhiwa katika vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS