Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Kukwepa uwajibikaji na kimya cha Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kuhusiana na jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza

    Kukwepa uwajibikaji na kimya cha Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kuhusiana na jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza

    Jan 08, 2024 08:41

    Katika kuendeleza misimamo inayozusha mizozo ya nchi za Magharibi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amepuuza jinai zinazotekelezwa na utawala wa Kizayuni huko Gaza na kudai kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapaswa kukomesha vitendo vyake vinavyovurunga amani na uthabiti wa eneo.

  • Yemen: Oparesheni dhidi ya utawala wa Kizayuni zinaendelea

    Yemen: Oparesheni dhidi ya utawala wa Kizayuni zinaendelea

    Jan 08, 2024 00:10

    Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen amesisitiza kuwa jeshi la nchi hiyo litaendelea kutekeleza oparesheni dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Bahari ya Sham na katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo (Israel).

  • Maripota wengine 2 wauawa shahidi katika shambulio la anga la Israel  Ukanda wa Gaza

    Maripota wengine 2 wauawa shahidi katika shambulio la anga la Israel Ukanda wa Gaza

    Jan 08, 2024 00:08

    Jeshi la Israel mapema jana Jumapili lilifanya mashambulizi ya anga huko Rafah na kuishambulia gari iliyokuwa imewabeba maripota wawili wa Palestina huko kusini mwa Gaza na kuwauwa shahidi waandishi habari wawili wa Palestina.

  •  Onyo la Umoja wa Mataifa kuhusu uhaba wa misaada ya kibinadamu Ukanda wa Gaza

    Onyo la Umoja wa Mataifa kuhusu uhaba wa misaada ya kibinadamu Ukanda wa Gaza

    Jan 06, 2024 04:07

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, wakimbizi walioingia katika mji wa Rafah tangu kuanza hujuma ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza wamefikia takriban watu milioni moja.

  • Athari mbaya za kushadidi mvutano katika baraza la mawaziri la vita la utawala wa Israel

    Athari mbaya za kushadidi mvutano katika baraza la mawaziri la vita la utawala wa Israel

    Jan 06, 2024 02:50

    Vyanzo vya habari katika ardhi inayokaliwa kwa mabavu ya Palestina (Israel) vimeripoti kuwa kikao cha baraza la mawaziri la vita la Benjamin Netanyahu kimetawaliwa na mvutano mkubwa na kwamba kimemalizika kwa mawaziri kurushiana maneno na malumbano makali.

  • Israel yaendeleza mashambulizi yake ya anga na mizinga Ukanda wa Gaza leo Ijumaa

    Israel yaendeleza mashambulizi yake ya anga na mizinga Ukanda wa Gaza leo Ijumaa

    Jan 05, 2024 08:51

    Ndege za kivita na mizinga ya utawala wa Kizayuni kwa mare nyingine tena leo Ijumaa zimeyashambulia maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza.

  • Sisitizo la Umoja wa Mataifa kuwa kuhamishwa kwa nguvu wakazi wa Gaza ni sawa na mauaji ya halaiki

    Sisitizo la Umoja wa Mataifa kuwa kuhamishwa kwa nguvu wakazi wa Gaza ni sawa na mauaji ya halaiki

    Jan 04, 2024 08:00

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano alisema kuwa kuhamishwa kwa nguvu na kufukuzwa watu wa Gaza ni "mauaji ya halaiki" na kuzionya nchi zisishiriki katika hatua hiyo ya kijinai.

  • Umoja wa Mataifa: Kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Gaza ni sawa na mauaji ya kizazi

    Umoja wa Mataifa: Kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Gaza ni sawa na mauaji ya kizazi

    Jan 04, 2024 07:41

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, unapinga kile kinachoonekana kama mpango wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, hatua haina tofauti na mauaji ya kimbari.

  • Mauaji ya kigaidi ya Saleh al-Arouri; Utawala wa Kizayuni wakiri kushindwa katika malengo ya kijeshi ya vita vya Gaza

    Mauaji ya kigaidi ya Saleh al-Arouri; Utawala wa Kizayuni wakiri kushindwa katika malengo ya kijeshi ya vita vya Gaza

    Jan 04, 2024 02:20

    Katika kitendo cha jinai, utawala wa Kizayuni wa Israel umemuua Saleh al-Arouri na wapiganaji wengine 7 wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) huko Beirut. Uhalifu huu unaweza kuchambuliwa katika pande kadhaa.

  • Hizbullah ya Lebanon yalenga maeneo ya  Wazayuni

    Hizbullah ya Lebanon yalenga maeneo ya Wazayuni

    Jan 04, 2024 02:04

    Hizbullah ya Lebanon imelenga maeneo kadhaa ya Wazayuni karibu na mpaka wa Lebanon na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS