-
Barua isiyo ya kawaida ya Guterres kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya Gaza
Dec 07, 2023 08:28Katika hatua isiyo ya kawaida, Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametumia mamlaka aliyopewa kisheria kupitia kifungu cha 99 cha Hati ya Umoja wa Mataifa kulishinikiza Baraza la Usalama la umoja huo lianzishe haraka usitishaji vita huko katika Ukanda wa Gaza.
-
Jeshi la Kizayuni limeua kwa halaiki jamaa 22 wa familia ya ripota wa Aljazeera
Dec 07, 2023 03:36Televisheni ya Al Jazeera ya Qatar imelaani mauaji ya familia ya mmoja wa waandishi wake wa habari katika mashambulizi yaliyofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel huko Gaza.
-
Afisa wa Yemen: Bahari Nyekundu ni marufuku kwa usafiri wa meli za utawala wa Kizayuni
Dec 07, 2023 02:45Waziri wa Ulinzi wa Serikali ya Yemen amesema, Bahari Nyekundu kutoka Ghuba ya Aqaba hadi Bab al-Mandab ni marufuku kwa safari za aina yoyote za meli za utawala wa Kizayuni.
-
Wazayuni wakiri kuwa Marekani inashiriki kivitendo katika mauaji ya watu wa Gaza
Dec 07, 2023 01:31Wizara ya Vita ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imekiri katika taarifa kwamba utawala huo umepokea tani 10,000 za zana za kivita kutoka Marekani tangu ulipoanzisha vita dhidi ya watu wa Gaza mnamo tarehe 10 Oktoba.
-
Kan'ani Chafi: Mashambulio mapya dhidi ya Gaza ni kashfa kubwa ya kimaadili kwa Marekani
Dec 02, 2023 23:45Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ameandika katika kujibu idhini ya Marekani kwa mashambulizi mapya yanayofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza kwamba, hii ni kashfa kubwa ya kimaadili kwa serikali ya Marekani na imeonyesha sura halisi ya haki za binadamu ya Washington kwa walimwengu.
-
Amir-Abdollahian: Uwepo wa dola la Kizayuni umeitia kwenye matatizo makubwa dunia
Dec 02, 2023 07:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni kwenye Ukanda wa Ghaza zimeiweka kwenye alama ya kuuliza itibari ya jamii ya kimataifa na madai ya kupigania haki za binadamu ulimwenguni.
-
Yemen: Silaha zetu zitaendelea kuupiga utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 02, 2023 07:12Mjumbe wa ngazi za juu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, silaha za nchi yake zimeelekezwa kwa adui Mzayuni ambaye ndiye adui nambari moja na kwamba utaendelea kuzitumia silaha hizo kuupiga utawala huo dhalimu.
-
Hizbullah: Muqawama hautoruhusu Wazayuni wafikie malengo yao Ghaza
Dec 02, 2023 07:09Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amegusia kuanza upya jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza na kusema kuwa, muqawama kamwe hautowaruhusu Wazayuni kufanikisha malengo yao haramu.
-
Wito wa Umoja wa Mataifa kuhusu usitishaji vita wa kudumu huko Gaza na onyo la kuenea mapigano
Nov 30, 2023 06:13Siku ya Jumanne, ikiwa ni siku ya tano ya usitishaji vita wa muda huko Gaza, Umoja wa Mataifa ulifanya vikao viwili, kimoja katika Baraza Kuu kuhadili vita kati ya Israel na Hamas na kingine katika Baraza la Usalama kuhusu hali ya Mashariki ya Kati na Syria, ambapo vikao vyote viwili vilizungumzia kuenea mapigano katika eneo na kusisitiza juu ya udhrura wa kutekelezwa usitishaji vita wa kudumu.
-
Tel Aviv inataka kuongeza muda wa usitishaji vita
Nov 29, 2023 08:21Televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Iisrael (Kan) leo Jumatano imetangaza kuwa Israel inafanya jitiada za kurefusha muda wa usitishaji vita baada ya kumaliza siku mbili zilizoongezwa.