-
Hamas: Vyombo vya habari vinapasa kuakisi jinai za Israel Ukanda wa Gaza
Nov 29, 2023 07:01Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imevialika vyombo vya habari kwa ajili ya kuakisi na kuonyesha jinai zilizofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza na kuitaka jamii ya kimataifa kuendelea kupinga na kuukosoa utawala wa Kizayuni ili usitishe uhalifu na jinai zake.
-
Mawaziri wenye misimamo mikali wa Netanyahu: Usitishaji vita wa kudumu ni sawa na kuvunjwa baraza la mawaziri
Nov 29, 2023 04:06Mawaziri wawili wenye misimamo mikali katika baraza la mawaziri la muungano wa Benjamin Netanyahu wamemtishia kwamba watashinikiza kuvunjwa baraza lake la mawaziri endapo usitishaji vita wa kudumu utafikiwa huko Gaza.
-
Wazayuni wakiri Kimbunga cha Al-Aqsa kimeangamiza askari na walowezi wao wengi
Nov 28, 2023 10:46Jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel limekiri kuwa zaidi ya askari wake 1,000 wa walowezi wa utawala huo waliuawa wakati wa mapigano ya Kimbunga cha Al-Aqsa.
-
Makubaliano ya kusitisha vita Gaza yarefushwa kwa siku 2 zaidi
Nov 28, 2023 03:42Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar na Harakati ya Hamas zimetangaza kuwa, makubaliano ya usitishaji vita huko Gaza yameongezwa muda kwa siku mbili zaidi, kwa msingi wa masharti yale yale ya awali.
-
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran: Ishara za kusambaratika Israel zimezidi kujitokeza wazi
Nov 26, 2023 08:39Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba, ishara za kusambaratika utawala wa Kiizayuni zimezidi kuonekana wazi.
-
Taarifa ya Kongamano la Kimataifa la Mshikamano wa Dunia dhidi ya Maangamizi ya Kizazi ya utawala wa Kizayuni
Nov 26, 2023 03:04Kongamano la Kimataifa la Mshikamano na Wanawake wa Palestina limetoa taarifa na kulaani maangamizi ya kiazi yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza.
-
Yemen: Uamuzi wetu wa kumfungia adui Mzayuni njia ya Bahari Nyekundu upo palepale
Nov 25, 2023 22:55Naibu Waziri Mkuu wa Yemen anayehusika na masuala ya ulinzi ametangaza kwamba "uamuzi wetu wa kumfungia njia ya Bahari Nyekundu adui Mzayuni uko palepale na tumejiweka tayari kwa shambulio lolote".
-
Uhispania na Ubelgiji zatangaza kuwa tayari kuitambua rasmi nchi ya Palestina
Nov 25, 2023 08:17Hatua ya Uhispania na Ubelgiji ya kutangaza kuwa tayari kuitambua rasmi nchi huru ya Palestina ni tukio muhimu kushuhudiwa barani Ulaya kuhusu kadhia ya Palestina. Hatua hii imeukasirisha sana utawala wa Kizayuni.
-
Afrika Kusini yavunja uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 23, 2023 03:48Kufuatia kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya taifa la Palestina, wabunge wa Afrika Kusini wamepiga kura ya kufunga ubalozi wa utawala wa Kizayuni nchini humo. Kwa uamuzi huo, ubalozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Afrika Kusini utafungwa, uhusiano wa kidiplomasia na utawala huo utakatwa na balozi wa utawala huo wa Kizayuni kutimuliwa kutoka Pretoria.
-
Je, kwa nini vita vya Gaza haviishi?
Nov 22, 2023 07:52Licha ya kupita siku 46 tangu kuanza vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza, lakini bado hakuna dalili zozote za kumalizika vita hivyo.