Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Uturuki yawatumia magaidi wa Syria msafara mwingine wa kilojistiki

    Uturuki yawatumia magaidi wa Syria msafara mwingine wa kilojistiki

    May 23, 2020 04:46

    Duru za habari za Syria zimeripoti kuwa, Uturuki imewatumia magaidi wa Syria msafara mwingine wa vifaa vya kijeshi katika maeneo unayoyakalia kwa mabavu ya kaskazini mwa Syria.

  • Uturuki: Imarati, Misri na baadhi ya nchi, zimelitumbukiza eneo la Asia Magharibi katika ghasia na machafuko

    Uturuki: Imarati, Misri na baadhi ya nchi, zimelitumbukiza eneo la Asia Magharibi katika ghasia na machafuko

    May 13, 2020 10:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa maamuzi na hatua mbovu za Imarati, Misri na baadhi ya nchi za Kiarabu na Magharibi, vimelitumbukiza eneo la Asia Magharibi katika ghasia na machafuko.

  • Onyo la Uturuki dhidi ya vikosi vyenye mfungamano na Saudi Arabia nchini Libya

    Onyo la Uturuki dhidi ya vikosi vyenye mfungamano na Saudi Arabia nchini Libya

    May 12, 2020 05:37

    Uwepo wa kijeshi wa Uturuki nchini Libya na vita vya niaba vya Ankara dhidi ya baadhi ya madola ya Kiarabu yenye fikra mgando kama Saudi Arabia, kumeshadidisha matatizo ya serikali ya Recep Tayyip Erdogan barani Afrika.

  • Uturuki: Taarifa ya nchi tano dhidi yetu imetumia vipimo vya kiundumakuwili

    Uturuki: Taarifa ya nchi tano dhidi yetu imetumia vipimo vya kiundumakuwili

    May 12, 2020 03:10

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imesema, taarifa ya pamoja iliyotolewa na Misri, Ugiriki, Imarati, Ufaransa na Cyprus kuhusu Bahari ya Mediterania inaonyesha vipimo vya kiundumakuwili vinavyotumiwa na nchi hizo.

  • Vita vya maneno vyashtadi kati ya Imarati na Uturuki

    Vita vya maneno vyashtadi kati ya Imarati na Uturuki

    May 01, 2020 21:06

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imeitaka Imarati kukomesha misimamo yake ya uhasama dhidi ya nchi hiyo.

  • Rais Erdoğan asisitiza kuwa Uturuki ni rafiki wa kuaminika wa Marekani

    Rais Erdoğan asisitiza kuwa Uturuki ni rafiki wa kuaminika wa Marekani

    Apr 29, 2020 22:08

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amemuandikia barua Rais Donald Trump wa Marekani akikariri kuwa Ankara ni mshirika wa kuaminika wa Washington, huku akisisitiza juu ya mshikamano wa pande mbili.

  • Malalamiko ya Baghdad juu ya kuendelea operesheni za kijeshi za Uturuki kaskazini mwa Iraq

    Malalamiko ya Baghdad juu ya kuendelea operesheni za kijeshi za Uturuki kaskazini mwa Iraq

    Apr 19, 2020 22:00

    Operesheni za askari wa Uturuki huko kaskazini mwa Iraq kwa mara nyingine zimekabiliwa na malalamiko ya serikali ya Baghdad.

  • Wanamgambo 1,500 wa Kisyria wawasili Libya kushirikiana na Haftar

    Wanamgambo 1,500 wa Kisyria wawasili Libya kushirikiana na Haftar

    Apr 13, 2020 05:35

    Vikosi vya jeshi la Khalifa Haftar vimetangaza kuwa wanamgambo 1,500 wa Kisyria wamewasili Tripoli wakisaidiwa na Uturuki.

  • Vikosi vya Haftar vyadai vimetungua drone 2 za Uturuki huko Libya

    Vikosi vya Haftar vyadai vimetungua drone 2 za Uturuki huko Libya

    Apr 09, 2020 03:51

    Kundi la wanamgambo wanaojiita Jeshi la Tifa la Libya wanaoongozwa na jenerali Khalifa Haftar linadai kuwa limetungua ndege mbili zisizo na rubani za Uturuki zilizokuwa zikiruka katika anga ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Mzozo mpya katika uhusiano wa Uturuki na Ugiriki

    Mzozo mpya katika uhusiano wa Uturuki na Ugiriki

    Apr 05, 2020 22:01

    Harakati mpya za viongozi wa Ankara na Athens, kwa mara nyingine zimechochea mizozo kati ya Uturuki na Ugiriki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS