-
Abdollahian: Jitihada za kusitisha vita Gaza kwa njia za kisiasa zinaendelea
Nov 02, 2023 02:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Qatar zinaendeleza juhudi za kisiasa za kutaka kusimamishwa vita kwa muda katika Ukanda wa Gaza haraka iwezekanavyo, huku utawala wa Kizayuni wa Israel ukiendelea kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika eneo hilo lililozingirwa.
-
Erdogan: HAMAS si kundi la magaidi, bali wapigania ukombozi
Oct 26, 2023 12:23Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amefuta safari yake ya kuzitembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kupachikwa jina bandia la Israel na kusisitiza kuwa, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS si kundi la magaidi, bali ni kundi la wapigania ukombozi.
-
Uturuki kuwasilisha OIC mpango pendekezwa wa kutatua mgogoro wa Gaza
Oct 17, 2023 12:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ametangaza kuwa atawasilisha katika kikao cha Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC mpango uliopendekezwa na nchi yake kwa ajili ya kutatua mgogoro wa Gaza
-
Uturuki bado inatafuta fursa kwa kuendelea kukalia ardhi ya Syria
Oct 02, 2023 11:05Ankara imetangaza kwa mara nyingine kuwa serikali ya Uturuki itaanzisha tena mazungumzo yake na Iran na Russia kwa lengo la kuboresha uhusiano na Syria.
-
Erdogan: Uturuki haitarajii chochote kutoka Umoja wa Ulaya
Oct 02, 2023 03:39Rais Recep Tayyeb Erdogan wa Uturuki amesema taifa hilo halitazamii kupata kitu chochote kutoka Brussels, baada ya kusubiri kwa miongo kadhaa kupewa uanachama wa Umoja wa Ulaya.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Russia na Uturuki wakutana New York kujadili mgogoro wa Syria
Sep 24, 2023 03:15Sambamba na juhudi zinazoendelea za kidiplomasia za kuushughulikia mgogoro wa Syria, mawaziri wa mambo ya nje wa Iran, Russia na Uturuki wamefanya mkutano wa pande tatu katika muktadha wa Mazungumzo ya Astana kwa ajili ya kujadili njia za kurejesha amani na utulivu katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Erdogan na Anwar Ibrahim walaani kuvunjiwa heshima Qur'ani katika nchi za Ulaya
Sep 21, 2023 03:49Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, na Waziri Mkuu wa Malaysia, Anwar Ibrahim, wamelaani vikali vitendo vya kuchomwa moto nakala za Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya, na hotuba zinazochochea ouvu, chuki na mashambulizi dhidi ya Uislamu na Waislamu.
-
Uturuki yafanya mazungumzo na Iraq, Qatar na UAE kuhusu mradi wa "Barabara ya Maendeleo"
Sep 16, 2023 02:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amethibitisha kuwa nchi yake inafanya mazungumzo na Iraq, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) na Qatar kuhusu mradi wa "Barabara ya Maendeleo".
-
Wafanyakazi Waturuki wanaojenga reli ya SGR Tanzania wagoma baada ya mishahara kucheleweshwa
Aug 13, 2023 02:40Mamia ya wafanyakazi Waturuki walioajiriwa na kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapı Merkezi katika mradi wa reli ya Tanzania ya Standard Gauge (SGR) wamegoma tangu Agosti 5, wakitaka kulipwa mishahara yao ambayo hawajalipwa kwa muda wa miezi saba iliyopita.
-
Kuendelea mashambulio ya kijeshi ya Uturuki dhidi ya Syria na Iraq
Aug 04, 2023 02:32Licha ya kufanyika mazungumzo ya amani kati ya Ankara na Damascus, mashambulizi ya kijeshi ya Uturuki dhidi ya Syria na Iraq yangali ni ajenda inayofanyiwa kazi na serikali ya Ankara.