-
Venezuela yataka kuhitimishwa uwepo kijeshi wa Marekani katika eneo la Caribbean
Dec 23, 2025 08:03Venezuela imetoa wito wa "kusitishwa mara moja" utumaji wa wanajeshi wa Marekani katika eneo la Caribbean.
-
Venezuela imewezaje kuwa kinara wa ukuaji wa uchumi katika Amerika ya Latini?
Dec 22, 2025 02:48Venezuela, baada ya kuvuka kikwazo cha vikwazo vya kiuchumi, imejinyakulia kiwango cha juu zaidi cha ukuaji wa uchumi katika Amerika ya Kusini mwaka 2025.
-
Iran, Venezuela zalaani 'uharamia' wa Marekani Caribbean
Dec 21, 2025 11:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi na mwenzake wa Venezuela, Yvan Gil Pinto wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu ambapo wamelaani uwepo wa jeshi la Marekani katika eneo la Caribbean, wakiishutumu Washington kwa kukiuka sheria za kimataifa, na kusisitiza dhamira yao ya kuimarisha ushirikiano wa pande mbili katika kupinga sera za upande mmoja.
-
Marekani yazuia meli nyingine ya mafuta kutoka Venezuela huku ikizidisha mashinikizo dhidi ya Caracas
Dec 21, 2025 07:52Wanajeshi wa Marekani wameisimamisha meli nyingine ya mafuta ya Venezuela katika pwani ya nchi hiyo ikiwa ni operesheni ya pili ya aina hiyo ndani ya wiki mbili, huku Rais Donald Trump wa Marekani akiendelea na kampeni kali inayolenga kuzidisha mashinikizo kwa serikali ya Rais Nicolas Maduro.
-
Kuipachika Venezuela lebo ya ugaidi; shutuma za kisiasa au kisingizio cha shambulio?
Dec 20, 2025 02:23Katika hatua yake ya hivi karibuni dhidi ya serikali ya Rais wa Venezuela Nicolas Maduro, Rais wa Marekani Donald Trump ameitangaza serikali hiyo kuwa ni ya kigaidi na ameamuru kuzuiwa meli zote za mafuta zinazoingia au kutoka nchini humo.
-
Maduro: Mpango wa Marekani wa kuigeuza Venezuela kuwa koloni lake 'kamwe hautatokea'
Dec 18, 2025 07:23Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema kuwa matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu "kurejesha mikononi mwa nchi hiyo" ardhi na mafuta ya Venezuela yamefichua nia na sura halisi ya Marekani, na kusisitiza kuwa Washington haiwezi "kamwe" kuigeuza nchi hiyo ya Amerika Kusini kuwa "koloni" lake.
-
Mkuu wa White House akiri: Lengo hasa la kuzishambulia boti ni kumpindua Maduro
Dec 17, 2025 06:37Mkuu wa wafanyakazi wa Ikulu ya Marekani White House Susie Wiles ametamka kuwa, mashambulizi ya jeshi la Marekani dhidi ya boti zinazodaiwa kuwa ni za madawa ya kulevya yanayofanywa katika eneo la Amerika Kusini yanalenga hatimaye kumpindua Rais wa Venezuela Nicolas Maduro.
-
Putin atangaza kumuunga mkono Maduro licha ya US kushadidisha vitisho dhidi ya Venezuela
Dec 12, 2025 10:11Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, anamuunga mkono Rais wa Venezuela Nicolas Maduro wakati huu ambapo Marekani imejizatiti kijeshi katika eneo la Carribean huku ikishadidisha vitisho dhidi ya Venezuela.
-
Marekani yatwaa meli ya mafuta ya Venezuela katika wizi na uharamia wa wazi
Dec 11, 2025 11:33Marekani imeshadidisha ghadhabu za walimwengu baada ya kutwaa meli ya mafuta ya Venezuela katika kile kilichotajwa na serikali ya Caracas kuwa hatua inayoshabihiana na uvamizi wa kijeshi wa Israel ulio kinyume cha sheria. Caracas iimekemea hatua hiyo ikiitaja kuwa ni "uharamia wa kimataifa."
-
Mtazamo wa Iran kuhusu vitendo vya Marekani dhidi ya Venezuela: Uzushi hatari unaotishia amani na usalama wa dunia
Dec 11, 2025 08:45Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amevitaja vitendo vya Marekani dhidi ya Venezuela kuwa ni uzushi hatari unaotishia amani na usalama wa dunia.