-
Umoja wa Afrika watangaza kumuunga mkono Rais Nicolás Maduro wa Venezuela
Jan 31, 2019 01:13Wizara ya Mambo ya Nje ya Venezuela imetangaza kwamba Umoja wa Afrika umesisitiza kumuunga mkono Rais Nicolás Maduro wa nchi hiyo.
-
Onyo la Russia kuhusu kuingilia kijeshi Marekani mgogoro wa Venezuela
Jan 30, 2019 09:24Matukio ya kisiasa yaliyojiri karibuni katika nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta ya Venezuela na makabiliano yanayozidi kupamba moto baina ya wapinzani na serikali ya mrengo wa kushoto ya nchi hiyo yameingia kwenye awamu nyeti na hasasi.
-
Russia: Nchi za Magharibi zisifikirie kuingilia kijeshi Venezuela
Jan 30, 2019 03:01Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana usiku alizitaka nchi za Magharibi kuachana na mpango, fikra au dhana yoyote kwamba ipo haja ya kuingilia kijeshi huko Venezuela.
-
China: Marekani itabeba dhima ya chochote kitakachotokea Venezuela
Jan 29, 2019 11:30China sanjari na kutangaza uungaji mkono wake kwa Rais Nicolas Maduro wa Venezuela, imesema Marekani inapaswa kubebeshwa dhima kwa jambo lolote baya litakalotokea katika nchi hiyo ya Amerika ya Latini.
-
Kusimama kidete Rais Nicolas Maduro wa Venezuela mbele ya njama za kutaka kumpindua
Jan 29, 2019 09:46Rais Nicolas Maduro wa Venezuela jana alisisitiza katika gwaride la jeshi la nchi hiyo lililofanyika kwa ajili ya kumuunga mkono kwamba, hakuna mtu yoyote ambaye anamheshimu mtu dhaifu, mwoga na msaliti na akaongeza kuwa, serikali ya Caracas inaungwa mkono kikamilifu na jeshi na kwamba, vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vimejiandaa kikamilifu kuilinda nchi.
-
Qassemi: Mkutano wa Warsaw ni wa kuleta hitilafu na mifarakano baina ya Iran na Ulaya
Jan 28, 2019 09:15Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kufanyika mkutano ulio dhidi ya Iran wa Warsaw Poland ni kuzusha hitilafu na mgawanyiko baina ya Iran na baadhi ya nchi za Ulaya.
-
Jeshi la Venezuela lapiga gwaride la kumuunga mkono Rais Maduro
Jan 28, 2019 04:54Jeshi la Venezuela limepiga gwaride mbele ya Rais Nicolás Maduro wa nchi hiyo likitangaza kumuunga mkono.
-
Bahram Qassemi: Ulaya kwa kutekeleza mfumo wa SPV ithibitishe kuwa iko huru na Marekani
Jan 28, 2019 04:27Bahram Qassemi, Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Umoja wa Ulaya kwa kutekeleza mfumo wa kifedha na Iran unaojulikana kama 'SPV' unaweza kuthibitisha kwamba unajitegemea na kwamba uko huru na Marekani pamoja na mashinikizo yake.
-
Kusimama kidete Rais Maduro mbele ya njama za kuipindua serikali yake za wapinzani wakishirikiana na Marekani
Jan 27, 2019 23:13Kwa sasa Venezuela ingali inakabiliwa na mzozo na mgogoro wa kisiasa. Katika hali ambayo Marekani na waitifaki wake wanaendelea kufanya kila mbinu na njama ili kuiondoa madarakani serikali ya mrengo wa kushoto ya Rais Nicolás Maduro na ambaye ndiye rais halali wa nchi hiyo, kiongozi huyo sambamba na kupinga kuainishiwa makataa na muhula maalumu pamoja na vitisho vya kigeni dhidi yake, amesisitiza juu ya kulinda katiba na kuitetea Venezuela.
-
Hizbullah ya Lebanon: Daima Uingiliaji wa Marekani umekuwa na madhara kwa mataifa mengine
Jan 26, 2019 23:06Mkuu wa mrengo wa kisiasa wenye mafungamano na Harakati ya muqawama katika bunge la Lebanon umelaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela na kusema kuwa, uingiliaji wa Washington daima umekuwa na madhara kwa mataifa mengine na ni doa ambalo linapaswa kusafishwa katika historia ya mwanadamu.