-
Video: Mapigano makali mjini Halab Syria
Aug 07, 2016 04:05Jana Jumamosi, makundi ya kigaidi yaliyounganisha nguvu zao zote kujaribu kujitoa katika mzingiro huko Halab, Syria yalieneza propaganda kubwa kudai kuwa yamefanikiwa kujitoa kwenye mzingiro huo. Kipande hiki cha video sambamba na kukanusha madai hayo, kinaonesha sehemu ndogo ya mapigano makali yaliyotokea jana katika pembe zote za kusini magharibi mwa mji wa Halab.
-
Video: George Bush na Tony Blair wapatikana na hatia ya kutenda jinai Iraq
Aug 03, 2016 07:05Mahakama moja nchini Malaysia imewapata na hatia Rais wa zamani wa Marekani George W. Bush na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair ya kutenda jinai za kivitia katika uvamizi wao wa nchini Iraq mwaka 2003. Maelezo zaidi yamo kwenye video hii hapa...
-
Video: Mtangazaji wa IRIB alipoanguka ghalfa na kuzimia akiwa LIVE hewani
Aug 03, 2016 06:54Mtaalamu wa hali ya hewa wa Shirika la Sauti na Televisheni la Iran IRIB aliangua ghafla na kuzimia akiwa katika matangazo ya moja kwa moja hewani, kwenye taarifa ya habari ya matangazo ya asubuhi. Alhadulillah, hali yake ni nzuri na alirejea hewani kwenye matangazo ya mchana. Sababu ya kuanguka kwake ghafla ni kushuka "presha"
-
Video: Ansarullah wa Yemen wakishambulia kwa makombora eneo la Jizan la Saudia
Jul 24, 2016 09:11Mapigano yanaendelea nchini Yemen, na licha ya harakati ya wananchi ya Answarullah na jeshi Yemen kufungiwa njia zote, lakini wanaendelea kupambana kiume kukabiliana na wavamizi wa nchi yao...
-
Video: Ndege ya Russia ikishambulia ngome za ISIS nchini Syria
Jul 24, 2016 09:06Kipande hiki kifupi cha video kinaonesha namna ndege ya Russia ilipokuwa inashambulia ngome za magaidi wa Daesh (ISIS) nchini Syria na kurudi kambini salama.
-
Mateso ya Waislamu wa Kashmiri ya upande wa India
Jul 22, 2016 10:27Waislamu wa eneo la Kashmiri lililoko chini ya India wamefanya maandamano makubwa ya kulaani serikali ya India baada ya jeshi la nchi hiyo kuwaua baadhi ya wanaharakati wanaopigania uhuru wa eneo hilo.
-
Goli la mapema zaidi kuwahi kufungwa katika historia ya kandanda
Jul 22, 2016 10:22Mchezo wa mpira wa miguu siku zote huwa na maanajabu. Hili hapa goli la haraka zaidi kuwahi kufungwa katika hitoria ya soka. Hilo limetokea nchini Mexico.
-
Video: Ukatili wa magaidi wa Syria hata kwa watoto wa Kipalestina
Jul 21, 2016 08:05Magaidi wa Syria wa kundi la Nuruddin al Zanki wanaoungwa mkono na madola ya kieneo na ya Magharibi hasa Marekani, yamezidi kudhihirisha ukatili wao kwa kumchinja kama kuku mtoto mdogo wa Kipalestina mwenye umri wa miaka 12.
-
Askari mwerevu wa barabarani
Jul 21, 2016 06:40Asakari mwerevu wa barabarani nchini China, alichukua hatua ya haraka na inayofaa na kufanikiwa kuokoa roho na makumi ya magari kama inavyoonesha video hii...
-
Ajali haina kinga
Jul 19, 2016 08:29Hawakukosea waliosema, ajali haina kinga. Kipande hiki kifupi cha video kinathibitisha hilo