-
Vikwazo vya dawa dhidi ya Iran; Mahakama ya ICJ yaitaka Marekani ijieleze
Mar 31, 2019 03:09Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) imesema, imeipeleka barua serikali ya Marekani kuitaka iondoe vikwazo ilivyoiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Sisitizo la Russia la wajibu wa kukabiliana vilivyo na vikwazo vya Marekani
Mar 30, 2019 02:56Marekani ina historia ndefu na mbaya zaidi ya kutumia vikwazo dhidi ya nchi nyingine kwa ajili ya kuendeleza malengo yake ya kibeberu. Kwa kweli viongozi wa ngazi za juu wa Marekani wanaamini kuwa, vikwazo dhidi ya nchi nyingine ndio wenzo bora kwao wa kuweza kufanikishia malengo yao.
-
Russia: Nchi za dunia zisibaki bila msimamo kuhusiana na sera za vikwazo za Marekani
Mar 29, 2019 21:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema, nchi za dunia si tu haipasi zibaki bila msimamo kuhusiana na sera za vikwazo za Mareklani, bali inatakiwa zichukue hatua pia ya kukabiliana na sera hizo.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran; na bwabwaja za Mike Pompeo
Mar 23, 2019 21:56Kutekeleza siasa za kuyawekea vikwazo mataifa mengine hususan wapinzani na mahasimu wa Marekani, ni moja ya nguzo kuu za siasa za kigeni za Washington katika duru ya uongozi ya Rais Donald Trump.
-
Russia yaionya Marekani isijaribu kuyawekea vikwazo mashirika yake nchini Venezuela
Mar 13, 2019 23:00Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa onyo kwa Marekani isijaribu kuyawekea vikwazo mashirika ya nchi hiyo yanayofanya kazi nchini Venezuela.
-
Mwenendo wa Marekani dhidi ya wananchi wa Iran; kielelezo cha jinai dhidi ya binadamu
Mar 08, 2019 11:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javad Zarif ameichapisha tena barua ya wanasayansi 66 wa tiba wa Iran kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kuitaka jamii ya kimataifa ilaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran hususan katika sekta ya utabibu.
-
Zimbabwe yasikitishwa na vikwazo vipya vya Marekani dhidi yake
Mar 06, 2019 10:21Zimbabwe imeeleza kusikitishwa kwake na hatua ya Marekani ya kurefusha vikwazo dhidi ya nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, inayokabiliwa na mgogoro wa kiuchumi.
-
Spika wa Bunge la Kuwait ataka kupigwa marufuku kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel
Mar 04, 2019 04:37Spika wa Bunge la Kuwait ametoa wito wa kupigwa marufuku suala la kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel na kuzuiwa kuweko uhusiano wa kisiasa na utawala huo ghasibu unaotenda jinai kila leo dhidi ya Wapalestina.
-
Iraq: Tutaendeleza zaidi uhusiano mwema na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Feb 21, 2019 01:10Mshauri wa Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, licha ya vikwazo na mashinikizo ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Baghdad itaendeleza uhusiano wake na Iran ikiwemo sekta ya nishati.
-
Rais Rouhani: Marekani inatiwa kiwewe na ustawi na maendeleo ya Iran
Jan 16, 2019 12:01Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wamarekani wameamua kuliwekea taifa la Iran vikwazo vikubwa mno kwa sababu wana kiwewe na maendeleo, ustawi na uwezo wa taifa hili la Kiislamu.