-
Kushadidi madhara ya vita na vikwazo kwa mataifa masikini
Mar 14, 2023 22:52Migogoro wa kisiasa na kiuchumi hususan vita ni mambo ambayo kwa hakika yamekuwa na taathira hasi kwa hali ya uchumi wa mataifa masikini hususan nchi za Kiafrika.
-
Marekani yaendeleza uraibu wake wa vikwazo kwa kuiwekea Iran vikwazo vipya
Mar 03, 2023 04:15Marekani imeyawekea vikwazo makampuni na meli kadhaa katika kuendeleza muelekeo wake wa kiundumakuwili na sera yake ya mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
EU yaidhinisha kifurushi cha 10 cha vikwazo dhidi ya Russia kwa sababu ya vita vya Ukraine
Feb 24, 2023 23:50Nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya zimeidhinisha kifurushi cha 10 cha vikwazo dhidi ya Russia kwa sababu ya vita vya Ukraine.
-
Hizbullah: Vikwazo vya Marekani havina tofauti na vita vya kijeshi
Feb 19, 2023 22:53Mkuu wa Baraza Kuu la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, vikwazo vya Marekani dhidi ya Lebanon na nchi zingine havina tofauti na vita vya kijeshi.
-
Jumuiya ya Maulamaa wa Muqawama yasisitiza kuondolewa haraka vikwazo dhidi ya Syria
Feb 13, 2023 08:19Jumuiya ya Maulamaa wa Muqawama imetoa taarifa ikisisitiza udharura wa kuondolewa haraka iwezekanavyo vikwazo dhidi ya Syria katika kipindi hiki ambacho nchi hiyo inahitajia misaada kutokana na kukumbwa na janga la tetemeko la ardhi.
-
Syria: Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani vinazidisha maafa ya tetemeko la ardhi
Feb 07, 2023 03:43Kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea kaskazini ya Syria, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo amesema, athari za vikwazo vya upande mmoja vya Marekani zinaongeza maafa ya janga hilo la kimaumbile.
-
Jibu la Iran kwa vikwazo vya Umoja wa Ulaya
Jan 27, 2023 23:02Katika kukabiliana na vikwazo vya hivi karibuni vya Umoja wa Ulaya, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imechapisha orodha mpya ya shakhsia na taasisi za Ulaya ambazo zimewekewa vikwazo na serikali ya Tehran.
-
Kutangaza al-Azhar kususia bidhaa za Sweden na Uholanzi; ulazima wa kuchukua hatua kali dhidi ya kuvunjiwa heshima Qur'ani
Jan 26, 2023 00:33Jumatano ya jana tarehe 25 Januari Chuo cha Kiislamu cha al-Azhar cha nchini Misri kilitoa mwito kwa wananchi wa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu kususia bidhaa za Uholanzi na Sweden kama moja ya njia za kuunga mkono Qur'ani Tukufu baada ya kushuhudiwa matukio mawili tofauti katika mataifa hayo ya kuchomwa moto Qu'ani Tukufu.
-
EU yaendeleza msimamo wa uhasama dhidi ya Iran
Jan 23, 2023 23:15Umoja wa Ulaya umeendeleza misimamo yake ya uhasama kwa Iran kwa kuiwekea vikwazo vipya.
-
Baqeri Kani: Iran imeshikamana na misimamo yake katika mazungumzo ya kuondolewa vikwazo
Jan 03, 2023 07:38Mkuu wa timu ya Iran ya kufanya mazungumzo ya nyuklia amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imeshikamana vilivyo na misimamo yake katika mazungumzo ya kuondolewa vikwazo.