Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vita

  • Maadhimisho ya kufeli Marekani jangwani Tabas, Iran

    Maadhimisho ya kufeli Marekani jangwani Tabas, Iran

    Apr 24, 2016 10:27

    Leo kumefanyika maadhimisho ya kukumbuka kushindwa vibaya jeshi la Marekani katika jangwa la Tabas, mashariki mwa Iran.

  • Watu watano wauawa sokoni nchini Burundi

    Watu watano wauawa sokoni nchini Burundi

    Apr 12, 2016 11:38

    Watu watano wamepigwa risasi na kuuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa Jumatatu usiku kufuatia hujuma iliyofanyika katika soko moja mashariki mwa Burundi.

  • Marekani, nchi ambayo daima iko vitani

    Marekani, nchi ambayo daima iko vitani

    Apr 11, 2016 23:33

    Sera za kijeshi na za kupenda vita za Marekani zinakosolewa kote duniani na hivi sasa hata wakuu wa nchi hiyo wameanza kukosoa sera hizo.

  • Obama: Kosa baya zaidi nililowahi kufanya ni kuhusu Libya

    Obama: Kosa baya zaidi nililowahi kufanya ni kuhusu Libya

    Apr 11, 2016 08:09

    Rais Barack Obama wa Marekani amesema: "Kosa baya zaidi katika urais wangu ni kukosa mpango wowote kwa ajili ya zama za baada ya kumuangusha Muammar Gaddafi nchini Libya."

  • Matukio ya kisiasa na kiusalama ya Yemen

    Matukio ya kisiasa na kiusalama ya Yemen

    Mar 22, 2016 23:14

    Muhammad Abdus Salam, msemaji wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, wamefikia maafikiano na Saudia kuhusu kuanza hatua za kujenga hali kuaminiana kwa shabaha ya kukomesha kikamilifu vita na mapigano nchini Yemen.

  • Katibu Mkuu wa Hizbullah: Vita vijavyo vitaigharimu mno Israel

    Katibu Mkuu wa Hizbullah: Vita vijavyo vitaigharimu mno Israel

    Mar 21, 2016 23:07

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema vita vyovyote itakavyoanzisha Israel dhidi ya Lebanon mnamo siku zijazo ni chokochoko ambayo itaugharimu na kuutia hasara kubwa utawala huo haramu wa Kizayuni.

  • Kuzusha vita baina ya Waislamu wa Kishia na Kisuni, lengo kuu la Marekani

    Kuzusha vita baina ya Waislamu wa Kishia na Kisuni, lengo kuu la Marekani

    Mar 06, 2016 21:47

    Mkuu wa kitengo cha habari na malezi cha Chuo Kikuu cha al Mansoura cha nchini Misri amesema, kuzusha vita baina ya Waislamu wa Kisuni na Kishia ndilo lengo kuu la Marekani katika njama zake za kuwarafakanisha Waislamu.

  • Sheikh Ikrima Sabri: Israel imeanzisha vita angamizi dhidi ya turathi za Kiislamu, Palestina

    Sheikh Ikrima Sabri: Israel imeanzisha vita angamizi dhidi ya turathi za Kiislamu, Palestina

    Feb 25, 2016 11:58

    Mufti Mkuu wa msikiti mtukufu wa Al-Aqsa na mkuu wa Kamati Kuu ya Kiislamu ya Baitul Muqaddas ametangaza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umeanzisha vita angamizi dhidi ya turathi na athari za Kiislamu za Palestina.

  • EU yaonya kuhusu hatari ya vita vya Russia, Uturuki

    EU yaonya kuhusu hatari ya vita vya Russia, Uturuki

    Feb 24, 2016 04:12

    Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya ameonya kuhusu uwezekano wa kuzuka vita baina ya Russia na Uturuki.

  • Wanajeshi Wayemen waua askari 20 Wasaudia Jizan

    Wanajeshi Wayemen waua askari 20 Wasaudia Jizan

    Feb 12, 2016 12:23

    Askari wasiopungua 20 wa Saudi Arabia wameuawa katika katika eneo la Jizan kusini magharibi mwa ufalme huo katika mapigano na wanajeshi wa Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS