Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vita

  • Saudi Arabia yashadidisha mashambulio dhidi ya shule na makazi ya raia Yemen

    Saudi Arabia yashadidisha mashambulio dhidi ya shule na makazi ya raia Yemen

    Sep 15, 2016 03:08

    Ndege za kivita za Saudi Arabia Jumatano asubuhi ziliendelea kudondosha mabomu katika maeneo ya raia nchini Yemen kwa kushambulia eneo la Aal Aqab katika mji wa Sahar katika mkoa wa Sa'ada kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu kuhusika jeshi la Sudan Kusini katika machafuko

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu kuhusika jeshi la Sudan Kusini katika machafuko

    Sep 09, 2016 08:49

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa, jeshi la Sudan Kusini lina mkono katika machafuko yanayojiri nchini humo.

  • UNICEF: Watoto milioni 50 wamekimbia makwao duniani

    UNICEF: Watoto milioni 50 wamekimbia makwao duniani

    Sep 07, 2016 09:02

    Karibu watoto milioni 50 duniani wamekimbia makazi yao, zaidi ya nusu ya idadi hiyo ikiwa ni kutokana na mizozo na mapigano kwenye nchi zao.

  • Wabunge Italia wapinga kuondolewa Saudia katika orodha ya wauaji watoto duniani

    Wabunge Italia wapinga kuondolewa Saudia katika orodha ya wauaji watoto duniani

    Jun 20, 2016 00:54

    Wabunge nchini Italia wamepinga hatua ya Umoja wa Mataifa kuiondoa Saudi Arabia katika orodha ya nchi zinazoongoza katika ukatili na mauaji ya watoto duniani.

  • Ndege za kivita za Saudia  zadondosha mabomu msikitini kaskazini mwa Yemen

    Ndege za kivita za Saudia zadondosha mabomu msikitini kaskazini mwa Yemen

    Jun 18, 2016 08:40

    Ndege za kivita za Saudia zadondosha mabomu katika msikiti mmoja uluoko mkoa wa Al Jauf kaskazini mwa Yemen.

  • Iran iko tayari kwa vita vya muda mrefu na Marekani

    Iran iko tayari kwa vita vya muda mrefu na Marekani

    Jun 04, 2016 00:08

    Kamanda mwandamizi wa kijeshi Iran amesema, Tehran iko tayari kwa vita vigumu na Marekani.

  • Ansarullah yafichua mpango wa Saudia wa kuanzisha mashambulio makubwa ndani ya Yemen

    Ansarullah yafichua mpango wa Saudia wa kuanzisha mashambulio makubwa ndani ya Yemen

    May 03, 2016 12:00

    Msemaji wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amesema muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia umejiandaa kufanya mashambulio makubwa katika maeneo mbalimbali ya Yemen.

  • Maadhimisho ya kufeli Marekani jangwani Tabas, Iran

    Maadhimisho ya kufeli Marekani jangwani Tabas, Iran

    Apr 24, 2016 10:27

    Leo kumefanyika maadhimisho ya kukumbuka kushindwa vibaya jeshi la Marekani katika jangwa la Tabas, mashariki mwa Iran.

  • Watu watano wauawa sokoni nchini Burundi

    Watu watano wauawa sokoni nchini Burundi

    Apr 12, 2016 11:38

    Watu watano wamepigwa risasi na kuuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa Jumatatu usiku kufuatia hujuma iliyofanyika katika soko moja mashariki mwa Burundi.

  • Marekani, nchi ambayo daima iko vitani

    Marekani, nchi ambayo daima iko vitani

    Apr 11, 2016 23:33

    Sera za kijeshi na za kupenda vita za Marekani zinakosolewa kote duniani na hivi sasa hata wakuu wa nchi hiyo wameanza kukosoa sera hizo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS