-
Mkuu wa Benki ya Maendeleo Afrika: Vita vya Ukraine vinaweza kusababisha mgogoro wa chakula Afrika
Mar 30, 2022 03:00Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) ambayo ni mkopeshaji mkubwa barani humo anafanya kila awezalo kuzuia bara la Afrika lisikabiliwa na mgogoro wa chakula kutokana na athari mbaya za vita vya Rusia na Ukraine.
-
Mazungumzo ya amani ya CAR yamalizika pasina na matunda yoyote
Mar 29, 2022 01:30Mazungumzo ya amani katika nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati iliyoathiriwa na vita vya ndani vinavyoendelea tangu mwaka 2013 yamemalizika pasina na kuchukuliwa na maamuzi muhimu.
-
Vita vya Ukraine na mgogoro wa chakula duniani
Mar 25, 2022 02:27Zaidi ya nchi 40 zimetia saini barua ya kutaka kuitishwe mkutano wa dharura wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) ili kukabiliana na mgogoro wa chakula, ambao huenda ukazidishwa na vita vya Ukraine.
-
Kukiri EU kosa lake la kuiahidi Ukraine kujiunga na NATO
Mar 14, 2022 02:53Josep Borrell Fontelles, Mkuu wa Sera za Kigeni za Umoja wa Ulaya amekiri kuwa kitendo cha umoja huo cha kuipa ahadi Ukraine ya kuiunga na Jeshi la Nchi za Magharibi NATO, lilikuwa kosa.
-
Kuwepo kwa wapiganaji wa kigeni katika vita vya Ukraine; mwelekeo na sura mpya
Mar 12, 2022 10:43Sambamba na kuendelea vita huko Ukraine, kuwepo kwa vikosi na wapiganaji wa kigeni kumevipa vita hivyo sura na mwelekeo mpya. Ni baada ya Rais Vladimir Putin wa Russia kuafiki suala la kuwezesha wapiganaji na vikosi vya kujitolea vinavyounga mkono nchi hiyo kushiriki katika vita vya Ukraine.
-
Serikali ya Iran: Vita si suluhisho la mgogoro wowote ule
Feb 25, 2022 06:56Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vita si suluhisho la tatizo lolote lile. Amesema hayo ikiwa ni kutangaza msimamo wa serikali ya Iran kuhusu vita baina ya Russia na Ukraine huko mashariki mwa Ulaya.
-
Putin asisitiza, Russia haina nia ya kuingia vitani na Ukraine
Feb 17, 2022 02:48Rais Vladimir Putin wa Rassia aliuambia mkutano wa waandishi wa habari siku ya Jumanne baada ya kukutana na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz, huko Kremlin kwamba ametoa wito kwa nchi za Magharibi kujiepusha kupeleka silaha za kivita kwenye mipaka ya Russia na kwamba zinapaswa kusitisha upanuzi wa shirika la NATO upande wa Mashariki.
-
Kuongezeka indhari kuhusu uwezekano wa kutokea vita mashariki mwa Ulaya
Feb 12, 2022 10:13Nchi za Magharibi zinaendelea kutoa tahadhari mbalimbali kuhusu uwezekano wa Russia kuishambulia Ukraine kufuatia kuongezeka mivutano huko Ulaya Mashariki kati ya Moscow na Kiev.
-
“Huenda Trump akaitumbukiza Marekani katika vita vya pili vya ndani”
Feb 02, 2022 02:33Mchambuzi mmoja wa masuala ya siasa amesema yumkini aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump akaitumbukiza nchi hiyo katika vita vya pili vya wenyewe kwa wenyewe.
-
Jumatano tarehe 26 Januari 2022
Jan 26, 2022 04:11Leo ni Jumatano tarehe 23 Jamadithani 1443 Hijria inayosadifiana na tarehe 26 Januari 2022.