-
Rais wa Ufaransa atuhumiwa kueneza chuki dhidi ya Waislamu
Nov 04, 2019 23:01Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametuhumiwa kuhusika na kueneza chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Sanders: Trump ni mbaguzi wa rangi na anapiga vita Uislamu
Aug 16, 2019 23:12Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democratic amesema kuwa Rais wa nchi hiyo, Donald Trump ni mbaguzi wa rangi na anapiga vita dini ya Uislamu.
-
Indhari ya Mkuu wa Sera za Nje wa EU kuhusu uenezaji chuki dhidi ya Uislamu
Mar 28, 2019 00:07Mashambulizi ya kigaidi ya makundi yenye kuchupa mipaka hususan magaidi wa Daesh huko barani Ulaya na Marekani yamepelekea kuandaliwa uwanja wa kushadidishwa mashambulizi ya propaganda na kuibua anga ya vita vya kisaikolojia dhidi ya dini ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla.
-
Sisitizo la Antonio Guterres la ulazima wa kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia)
Mar 24, 2019 03:07Matukio ya miaka ya hivi karibuuni katika medani ya kimataifa hususan kujitokeza makundi yenye kufurutu ada na kuenea vitendo vyao vya ugaidi katika madola ya Magharibi, yalivipatia vyombo vya habari na tawala za nchi hiyo kisingizio tosha cha kueneza chuuki dhidi ya Uislamu.
-
Le Monde: Matajiri wa Marekani wanafadhili propaganda chafu dhidi ya Uislamu
Mar 12, 2019 13:03Kundi dogo la matajiri na vibopa wa Marekani linafadhili mitandao inayosambaza habari na mashambulizi na propaganda chafu zinazoenezwa kupitia mtandao wa intaneti barani Ulaya kwa ajili ya kueneza fikra za mrengo wa kulia wenye misimamo mikali na kuchochea uadui dhidi ya Uislamu na matukufu yake.
-
Malalamiko dhidi ya matamshi ya kukejeli Uislamu nchini Uingereza
Aug 08, 2018 21:58Katika mkondo wa wimbi la kupinga matamshi ya dharau na kebehi yaliyotolewa na waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Uingereza dhidi ya Waislamu, Mwenyekiti wa chama cha Conservative cha Uingereza amemtaka Boris Johnson aombe radhi kutokana na matamshi yake dhidi ya wanawake wa Kiislamu wanaovaa vazi la burqa.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 40 + Sauti
Jun 16, 2018 11:44Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 40 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 35 na sauti
Jun 03, 2018 10:29Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 35 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 29 na sauti
Apr 03, 2018 08:16Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 29 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Kushamiri magenge yaliyo dhidi ya Uislamu nchini Marekani baada ya kuingia madarakani Trump
Feb 23, 2018 21:15Vitendo vya kiuadui na chuki vya magenge ya kibaguzi ambayo chuki zao dhidi ya Uislamu hazina kifani, vimeongezeka sana nchini Marekani tangu baada ya kuanza urais wa Donald Trump nchini humo.