-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 27 na sauti
Feb 18, 2018 12:56Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 27 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 24 na sauti
Feb 18, 2018 12:11Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 24 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Kushadidi hatua za chuki za Trump dhidi ya Uislamu
Nov 30, 2017 23:16Kitendo cha Rais Donald Trump wa Marekani cha kusambaza tena filamu za vidio za propaganda za chuki dhidi ya Uislamu kupitia ukurasa wake wa Twitter kimezusha moto wa ghadhabu na hasira duniani. Hatua hiyo ya Trump ya kuweka tena filamu hizo za vidio za kuchochea chuki dhidi ya Uislamu imelaaniwa kuanzia ndani ya Marekani na wapinzani wake mpaka na viongozi wa nchi nyengine duniani.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 17 na sauti
Nov 25, 2017 16:03Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 17 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Unyanyasaji dhidi ya Waislamu waongezeka mno nchini Uingereza
Nov 04, 2017 23:42Gazeti moja la nchini Uingereza limeripoti habari ya kuongezeka unyanyasaji na mashambulizi dhidi ya Waislamu nchini humo katika mwaka huu wa 2017.
-
Waislamu wazidi kunyanyaswa nchini Uingereza
Jun 18, 2017 03:23Vitendo vya unyanyasaji dhidi ya Waislamu vimeongezeka nchini Uingereza hasa baada ya kutokea mashambulizi ya kigaidi katika miji ya Manchester na London.
-
Darul Iftaa ya Misri yakosoa chuki dhidi ya Uislamu nchini Marekani
Feb 13, 2017 00:51Idara Kuu inayohusika na Fatwa za Kiislamu ya Misri (Darul Iftaa) imekosoa vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini Marekani na kuchomwa moto vituo vya Kiislamu.
-
Kuongezeka chuki dhidi ya Waislamu Amerika Kaskazini
Jan 31, 2017 00:39Baada ya kuongezeka hisia za chuki na uadui dhidi ya Waislamu huko Amerika Kaskazini hususan baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump nchini Marekani, hivi sasa matokeo mabaya ya jambo hilo yameanza kuonekana.
-
Chuki dhidi ya Uislamu zaongezeka nchini Ufaransa
Jul 20, 2016 23:18Vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vimeongezeka nchini Ufaransa na mara hii ni katika mji wa Lyon.
-
Hujuma dhidi ya Uislamu zaongezeka Uingereza baada ya Brexit
Jun 28, 2016 23:56Waislamu wa Uingereza wanakabiliwa na wimbi kubwa la hujuma zinazotokana na chuki baada ya kutangazwa matokeo ya kura ya maoni ya kujiondoa nchi hiyo katika Umoja wa Ulaya (Brexit).