Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

waasi

  • Jeshi la Nigeria laangamiza magaidi 50, yumo kamanda mkuu wa kundi la ISWAP

    Jeshi la Nigeria laangamiza magaidi 50, yumo kamanda mkuu wa kundi la ISWAP

    Jun 04, 2026 03:05

    Wanajeshi wa Nigeria wanaoendesha oparesheni kwa jina "Hadin Kai" wamewaangamiza magaidi wasiopungua 50, akiwemo kamanda mkuu wa tawi la ISWAP lililoungana na kundi la Boko Haram.

  • Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Denis Mukwege: Makubaliano ya amani kati ya Kinshasa na M23 ni 'haramu'

    Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Denis Mukwege: Makubaliano ya amani kati ya Kinshasa na M23 ni 'haramu'

    Dec 02, 2025 02:53

    Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Dkt. Denis Mukwege amelaani mchakato wa amani unaoendelea kati ya serikali ya Kinshasa na waasi wa M23 unaolenga kukomesha mapigano mashariki mwa DRC.

  • Nigeria yapinga vikali vitisho vya Trump, yasema mamlaka yake ya kujitawala hayajadiliwi

    Nigeria yapinga vikali vitisho vya Trump, yasema mamlaka yake ya kujitawala hayajadiliwi

    Nov 02, 2025 07:11

    Serikali ya Nigeria imepinga vikali uingiliaji wowote wa kigeni katika mambo ya ndani ya nchi hiyo ikisisitiza kwamba "mamlaka ya kitaifa hayawezi kujadiliwa," na kwamba inachunguza matukio ya hivi karibuni na kuwafuatilia wale wote waliohusika.

  • Watu 30 wauawa katika shambulio la wanamgambo nchini Nigeria

    Watu 30 wauawa katika shambulio la wanamgambo nchini Nigeria

    Aug 10, 2024 09:24

    Kwa akali watu 30 wameuawa katika jimbo la Benue nchini Nigeria baada ya kundi la wanamgambo kufanya mashambulio dhidi ya kijiji cha Ayati.

  • Waasi wa Kituareg watangaza kudhibiti kambi nyingine ya jeshi la Mali

    Waasi wa Kituareg watangaza kudhibiti kambi nyingine ya jeshi la Mali

    Oct 05, 2023 04:23

    Wapiganaji wa Kituareg huko kaskazini mwa Mali wametangaza kuwa wameteka kambi nyingine ya jeshi la nchi hiyo na kufanya idadi ya kambi walizotwaa katika wiki kadhaa zilizopita kufikia tano.

  • Kenya kupeleka vikosi maalumu pwani na kaskazini kukabiliana na ukosefu wa usalama

    Kenya kupeleka vikosi maalumu pwani na kaskazini kukabiliana na ukosefu wa usalama

    Sep 20, 2023 23:05

    Serikali ya Kenya inapanga kupeleka vikosi maalumu katika maeneo ya kaskazini na pwani ili kukabiliana na tishio la ugaidi kufuatia ongezeko la mashambulizi ya kigaidi katika maeneo hayo.

  • Makundi ya waasi yanajiondoa katika mazungumzo ya amani ya Chad huko Doha, Qatar

    Makundi ya waasi yanajiondoa katika mazungumzo ya amani ya Chad huko Doha, Qatar

    Jul 17, 2022 21:59

    Makundi kadhaa ya waasi wa Chad na vyama vya kisiasa vya upinzani vimejiondoa katika mazungumzo ya amani na serikali ya kijeshi ya taifa hilo la katikati mwa Afrika, vikiishutumu serikali kuwa inataka kuvuruga juhudi za amani.

  • Watu zaidi ya 100 wauawa katika shambulio la waasi Burkina Faso

    Watu zaidi ya 100 wauawa katika shambulio la waasi Burkina Faso

    Jun 14, 2022 03:34

    Serikali ya Burkina Faso imetangaza kuwa watu wasiopungua 50 wameuawa katika shambulio lililofanywa na watu wenye silaha katika kijiji kimoja kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Zaidi ya watu 6,000 wakimbia makazi yao nchini Gambia kutokana na mzozo wa Casamance, Senegal

    Zaidi ya watu 6,000 wakimbia makazi yao nchini Gambia kutokana na mzozo wa Casamance, Senegal

    Mar 21, 2022 03:12

    Mamlaka ya Gambia imetangazai kwamba imehesabu zaidi ya watu 6,000 waliokimbia ghasia za wiki moja iliyopita kati ya jeshi na waasi wenye silaha katika eneo la Casamance kusini mwa nchi jirani ya Senegal.

  • DRC: Jeshi la Uganda ladai kutwaa moja ya kambi kuu za ADF + SAUTI

    DRC: Jeshi la Uganda ladai kutwaa moja ya kambi kuu za ADF + SAUTI

    Dec 29, 2021 08:43

    Jeshi la Uganda linasema limefanikiwa kudhibiti kambi kubwa ya waasi wa ADF, inayofahamika kama Kambi Ya Yua iliyokuwa inawahifadhi waasi zaidi ya 600 na familia zao, katika operesheni zao inazoshirikiana na wenzao wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mashariki mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS