-
Waasi kadhaa watiwa mbaroni mashariki mwa DRC
May 21, 2016 11:27Afisa mmoja mwandanamizi wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametangaza habari ya kutiwa mbaroni waasi kadhaa wa kundi la Mai Mai, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la DRC laanzisha operesheni mpya dhidi ya waasi wa Uganda
May 15, 2016 02:15Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeanzisha opereseheni mpya ya kijeshi dhidi ya waasi wa Uganda, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Rais Paul Kagame akanusha nchi yake kuwasaidia waasi wa Burundi
May 14, 2016 02:14Rais Paul Kagame wa Rwanda amekanusha nchi yake kuwasaidia waasi wa Burundi kama ilivyokuja katika ripoti ya siri iliyowasilishwa kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Machafuko mashariki mwa DRC kikwazo kwa misaada ya maelfu ya watu
Apr 24, 2016 23:34Ofisi ya uratibu wa misaada ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa, hali mbaya na machafuko huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ni kikwazo kikuu cha kuwafikishia misaada ya kibinadamu wahitaji.
-
LRA iliwateka watu 296 kwenye robo ya kwanza ya 2016
Apr 24, 2016 23:34Kundi la waasi la Lord's Resistance Army la Uganda liliwateka watu 296 katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika robo ya kwanza ya mwaka huu.
-
Wanajeshi wa serikali wauawa kaskazini mwa Mali
Apr 24, 2016 10:18Duru za usalama nchini Mali zimesema kuwa, watu wenye silaha wamewavamia wanajeshi wa serikali kaskazini mwa nchi hiyo na kuua wanajeshi wawili.