-
Wapalestina wa Gaza wasusia kula kuwaunga mkono wafungwa wa Kipalestina
Apr 28, 2017 07:52Wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza wamesusia kula chakula ili kuonyesha uungaji mkono wao kwa wafungwa wa Kipalestina ambao wanadhalilishwa katika jela na magereza ya utawala haramu wa Israel.
-
Arab League yautaka Msalaba Mwekundu kutetea wafungwa wa Palestina
Apr 27, 2017 08:14Jumuiya ya Nchi za Kiarabu zimelitaka shirika la Msalama Mwekundu kuwaunga mkono na kusimama na wafungwa wa Palestina sambamba na kusaidia kukomeshwa jinai dhidi yao wanazofanyiwa na utawala haramu wa Israe.
-
Kuendelea ukandamizaji wa Israel dhidi ya mateka wa Kipalestina
Feb 04, 2017 03:56Qadura Fares, Mkuu wa Klabu ya Mateka wa Kipalestina amesema kuwa, vitendo viovu wanavyofanyiwa Wapalestina hao kwa madai tofauti na kuongezeka sana jinai hizo dhidi ya mateka waKipalestina, ni mambo yanayofanyika kwa amri ya moja kwa moja ya Baraza la Mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Burundi yawaachia huru mamia ya wafungwa
Jan 24, 2017 08:09Serikali ya Burundi imewaachia huru mamia ya wafungwa kufuatia agizo la Rais Pierre Nkurunziza wa nchi hiyo, huku watetezi wa haki za binadamu wakidai kuwa hiyo ni njama ya kutoa nafasi ya kukamatwa wanaharakati wa kisiasa.
-
Jela yavamiwa na watu wenye silaha Bahrain, wafungwa waachiwa huru
Jan 01, 2017 16:36Watu waliokuwa na silaha wameivamia jela ya Jau nchini Bahrain na kumuua polisi mmoja na kuwatorosha wafungwa wa jela hiyo. Hayo yameelezwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Bahrain.
-
Ethiopia yawaachia huru watu karibu elfu 10 'waliokiuka hali ya hatari'
Dec 21, 2016 14:33Serikali ya Ethiopia imewaachia huru takriban watu elfu 10 waliokamatwa chini ya anga ya hali ya hatari lakini inapania kuwapandisha kizimbani maelfu ya wengine wanaotuhumiwa kuhujumu usalama wa taifa.
-
Kushtadi mateso dhidi ya wafungwa wa kisiasa Misri
Sep 29, 2016 08:03Watetezi wa haki za binadamu jana walibainisha wasiwasi wao katika ripoti waliyotoa kuhusu hali mbaya waliyonayo wafungwa wa kisiasa huko Misri, khususan wale waliopo katika jela ya Aqrab huko Cairo mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Mgomo wa chakula, radiamali ya mateka wa Palestina kwa mashinikizo ya Israel
Jul 19, 2016 07:26Kuongezeka mashinikizo ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela za kuogofya za utawala huo ghasibu, kumewalazimisha Wapalestina hao watumia njia pekee waliyobaki nayo, ya kugoma kula chakula.
-
Wafungwa wa Misri wasusia chakula kukosoa 'kesi bandia'
May 23, 2016 12:17Makumi ya wafungwa wa Misri walioshiriki maandamano ya kuikosoa serikali ya Cairo kwa kuipa Saudi Arabia visiwa viwili vinavyomilikiwa na nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika wanafanya mgomo wa kula, kulalamikia kile walichokitaja kuwa kesi bandia na za kidhulma dhidi yao.