-
Maiti 27 za wahajiri zapatikana jangwani karibu na mpaka wa Tunisia
Aug 11, 2023 02:19Mamlaka za Libya zimetangaza habari ya kugunduliwa miili 27 ya wahajiri wa Kiafrika katika jangwa la magharibi karibu na mpaka wa nchi hiyo na Tunisia.
-
Wakimbizi 16 wakufa maji baada ya boti zao kuzama Kaskazini mwa Afrika
Aug 08, 2023 07:32Wahajiri wasiopungua 11 wamepoteza maisha baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama katika maji wa Bahari ya Mediterrania, pwani ya Tunisia.
-
Wahajiri 300 kutoka Senegal wahofiwa kufa maji wakielekea Uhispania
Jul 11, 2023 07:14Mamia ya wahajiri wanahofiwa kupoteza maisha baada ya boti tatu walizokuwa wakisafiria kuelekea Uhispania kutoweka baharini.
-
Kutokana na hali mbaya ya uchumi, Uturuki yawatia mbaroni na kuwahamisha mamia ya wahamaji
Jul 08, 2023 03:24Vikosi vya usalama nchini Uturuki vimewakamata mamia ya wahamiaji na kuwarejesha nchi walikotoka.
-
Wanaharakati walaumu sera za uhamiaji za Ulaya kwa vifo vya wahajiri
Jun 26, 2023 09:55Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wamekosoa sera za uhamiaji za Ulaya, huku vifo vya wahajiri wanaosafiri kwenda Ulaya hasa kupitia baharini vikiongezeka.
-
Umoja wa Ulaya na mchango wake katika uhalifu dhidi ya ubinadamu nchini Libya
Mar 30, 2023 02:15Wakati wimbi kubwa la wakimbizi linaendelea kumiminika Libya wakiwa na matumaini ya kuvuka bahari na kufika Ulaya, nchi hiyo ya Afrika sasa imekuwa Jahanamu kwa wakimbizi na wahamiaji, kiasi kwamba wengi wao wananyanyaswa kimwili na kiakili na hata kuuawa.
-
29 wafa maji, 11 waokolewa katika ajali ya boti pwani ya Tunisia
Mar 27, 2023 11:35Gadi ya Kitaifa ya Ulinzi wa Pwani ya Tunisia imetangaza habari ya kuaga dunia wahamiaji 29 kati ya 34 wa Kiafrika waliotoweka Ijumaa iliyopita baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuelekea Ulaya kuzama baharini karibu na pwani ya Tunisia.
-
Mamia ya wahajiri wa Kiafrika warejea nyumbani wakitokea Tunisia
Mar 05, 2023 10:39Mamia ya wahajiri wa Kiafrika wamerejea katika nchi zao wakitokea Tunisia, siku chache baada ya Rais Kais Saied wa nchi hiyo kutoa matamshi yaliyoonekana kuwa dhidi ya wahamiaji nchini humo.
-
Maiti 27 za wahajiri zapatikana jangwani nchini Chad
Dec 14, 2022 11:11Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza habari ya kugunduliwa maiti za wahamiaji 27 zikiwemo za watoto wanne katika jangwa moja nchini Chad.
-
Maelfu ya wahajiri wamepigwa na kudhalilishwa katika mipaka ya EU
Dec 10, 2022 02:22Ripoti mpya iliyotolewa na shirika moja la kutetea haki za binadamu imefichua kuwa, maelfu ya wahajiri walipewa kichapo cha mbwa, baadhi wakadhalilishwa na wengine wakazuiliwa kinyume cha sheria kabla ya kurejeshwa waliokotoka na askari wa mipaka ya nchi za Umoja wa Ulaya.