-
Morocco yazuia wahajiri 56,000 kwenda Ulaya kupitia Mediterania
Nov 14, 2022 11:07Mamlaka za Morocco zimetangaza kuwa zimezima majaribio ya makumi ya maelfu ya wahamiaji haramu waliojaribu kuvuka bahari ya Mediterania kuelekea Ulaya.
-
Maiti 8 za wahajiri zapatikana pwani ya kusini ya Tunisia
Oct 11, 2022 11:51Wavuvi wa Tunisia wameopoa miili ya wahajiri wanane waliokufa maji katika pwani ya mji wa Zarzis, kusini mwa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Maiti 20 za wahajiri zapatikana katika mpaka wa Libya na Sudan
Aug 13, 2022 11:24Maiti 20 za wahajiri haramu zimepatikana katika jangwa lililoko baina ya Libya na Sudan.
-
Makumi ya wahajiri wahofiwa kufa maji wakielekea Italia
Aug 10, 2022 11:22Makumi ya wahajiri wanahofia kuaga dunia baada ya boti yao kuzama wakijaribu kuelekea Italia.
-
Maiti 20 za wahajiri zapatikana jangwani nchini Libya
Jun 30, 2022 07:52Maiti 20 za wahajiri walioripotiwa kutoweka katika jangwa nchini Libya karibu na mpaka wa Chad, zimepatikana kusini mashariki mwa nchi.
-
Morocco: Wahajiri 18 wameaga dunia wakijaribu kuingia eneo la Melilla la Uhispania
Jun 25, 2022 11:47Serikali ya Morocco imesema wahajiri 18 wamepoteza maisha, huku makumi ya wengine pamoja na askari polisi wakijeruhiwa katika mkanyagano wa kujaribu kuingia katika maeneo ya Melilla na Ceuta yanayodhibitiwa na Uhispania.
-
Wasiwasi wa Shirika la Haki za Wahamiaji kuhusu hali ya wafanyakazi wa kigeni katika magereza ya Saudi Arabia
May 02, 2022 04:09Shirika la Haki za Wahamiaji limeelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya kusikitisha ya wafanyakazi wa kigeni wanaozuiliwa katika magereza ya Saudia.
-
Wahajiri 35 wahofiwa kufa maji Libya baada ya boti yao kupinduka
Apr 17, 2022 08:02Umoja wa Mataifa umesema unahofia kuwa makumi ya wahajiri wameaga dunia baada ya boti iliyokuwa imewabeba kuzama katika Bahari ya Mediterrania, pwani ya Libya.
-
Watu wanne waaga dunia baada ya boti yao kuzama pwani ya Libya
Apr 12, 2022 10:23Kwa akali watu wanne wamethibitishwa kupoteza maisha baada ya boti iliyokuwa imewabeba kuzama katika Bahari ya Mediterrania, pwani ya Libya.
-
Watoto 6 miongoni mwa wahajiri 13 waliokufa maji Tunisia
Apr 11, 2022 02:36Watoto 6 miongoni mwa wahajiri 13 waliokufa maji baada ya boti zao kuzama katika pwani ya Tunisia, wakijaribu kuelekea Italia.