-
Wahajiri wengine 90 wafa maji katika ajali Bahari ya Mediterania
Apr 04, 2022 10:58Mkuu wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR amezitaka nchi za Ulaya kuwa na ukarimu na kuamiliana vyema na wakimbizi wengine, kama zinavyoamiliana na wakimbizi wa Ukraine.
-
Zemmour: Nitawafukuza wahajiri wa Afrika nikichaguliwa kuwa rais wa Ufaransa
Mar 25, 2022 02:30Mgombea mwenye siasa kali za mrengo wa kulia katika uchaguzi wa rais wa Ufaransa, Éric Zemmour amesema atawafukuza malaki ya wahamiaji wa Kiafrika, iwapo atachaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo ya Ulaya mwezi ujao.
-
Maelfu ya wahajiri Waafghani wametelekezwa na Marekani makambini nchini Imarati
Mar 02, 2022 03:36Maelfu ya wahajiri Waafghani, ambao waliondolewa nchini mwao Afghanistan katika "Operesheni ya Uhamishaji" ya askari wa jeshi la Marekani wamebaki hawana mbele wala nyuma baada ya kupita karibu miezi saba tangu wahamishiwe katika Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati.
-
Rekodi ya utendaji kazi ya Joe Biden, mwaka mmoja wa kuwa madarakani
Jan 22, 2022 02:39Rais Joe Biden wa chama cha Democrat aliingia madarakani mwaka mmoja uliopita mnamo Januari 20, 2021, huku akitoa ahadi nyingi, hasa za kubadilisha hatua zilizochukuliwa na mtangulizi wake, Donald Trump, Rais wa zamani wa Marekani wa chama cha Republican.
-
Wahajiri kadhaa wafariki dunia katika ajali ya boti pwani ya Algeria
Oct 18, 2021 03:52Wizara ya Ulinzi ya Algeria imesema wahajiri wanne wamekufa maji baada ya boti waliokuwa wakisafiria kuzama katika Bahari ya Mediterania, huko pwani ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
UN: Watoto, wanawake 1,000 wanaozuiliwa Libya wapo hatarini
Oct 13, 2021 12:58Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetadharisha kuhusu hali mbaya inayowakabili watoto wadogo na wanawake wapatao elfu moja ambao ni miongoni mwa maelfu ya wahajiri wanaozuiliwa katika kambi za wakimbizi za kuogofya huko Tripoli, mji mkuu wa Libya.
-
Maiti 17 za wahajiri zapatikana ufukweni magharibi mwa Libya
Oct 06, 2021 13:01Shirika la Hilali Nyekundu la Libya limesema maiti 17 za wahajiri wanaoaminika kufa maji baada ya boti waliokuwa wakisafiria kuzama zimepatikana katika pwani ya magharibi ya nchi hiyo.
-
Wahajiri 17 wafariki dunia katika ajali ya boti pwani ya Libya
Aug 24, 2021 07:47Shirika la Wahamiaji Duniani (IOM) limesema wahajiri 17 wamekufa maji baada ya boti waliokuwa wakisafiria kuzama katika pwani ya Libya.
-
Boti iliyobeba makumi ya wahajiri yatoweka baharini pwani ya Mauritania
Aug 18, 2021 12:50Watu 47 wakiwemo watoto wadogo watatu wanahofiwa kupoteza maisha baada ya boti iliyokuwa imewabeba kupoteza mkondo na kutoweka, baada ya injini yake kufeli katika pwani ya Mauritania.
-
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM): Karibu watu elfu moja wamekufa maji mwaka huu tu Bahari ya Mediterania
Jul 28, 2021 07:00Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, karibu wahajiri haramu elfu moja wamekufa maji tangu mwanzoni mwa mwaka huu katika maji ya Bahari ya Mediterania.