-
Maelfu ya watoto wahajiri wanashikiliwa katika mazingira ya kuogofya Marekani
May 28, 2021 12:19Watoto zaidi ya 4,300 ambao hawana wazazi wala wasimamizi na ambao waliingia nchini Marekani wakitokea Mexico wanazuiliwa katika mazingira ya kutisha jimboni Texas.
-
Maiti 17 za wahajiri wa Kiafrika zapatikana katika kisiwa cha Uhispania
Apr 27, 2021 12:58Miili 17 ya wahajiri wa Kiafrika imepatikana katika mji wa pwani wa El Hierro, ulioko katika moja ya visiwa vya Canary vya Uhispania.
-
Wahajiri 130 wahofiwa kufariki dunia baada ya mtumbwi wao kuzama nchini Libya
Apr 23, 2021 07:35Taarifa kutoka nchini Libya zinasema kuwa, mtumbwi mmoja uliokuwa umebeba watu 130 umezama karibu na fukwe za nchi hiyo.
-
Makumi ya wahajiri wafa maji katika pwani ya Djibouti
Apr 13, 2021 07:00Wahajiri wasiopungua 34 wamepoteza maisha katika ajali ya boti iliyotokea katika mji wa bandari wa Obock, katika pwani ya Djibouti.
-
Wahajiri 20 waaga dunia baada ya kugharikishwa baharini Djibouti
Mar 05, 2021 02:38Makumi ya wakimbizi na wahajiri wamekufa maji baada ya wafanya magendo ya binadamu kuwarusha baharini nchini Djibouti.
-
Libya yawanusuru wahajiri 1,500 katika pwani ya nchi hiyo
Feb 11, 2021 12:27Gadi ya Pwani ya Libya imefanikiwa kuwaokoa wahajiri haramu 1,500 waliokuwa hatarini kuzama katika maji ya pwani ya magharibi ya nchi hiyo katika kipindi cha wiki moja iliyopita.
-
Makumi ya wahajiri wafa maji katika pwani ya Tunisia
Dec 25, 2020 13:05Wahajiri wasiopungua 20 wamepoteza maisha katika ajali ya boti iliyotokea jana Alkhamisi katika mji wa pwani wa Sfax nchini Tunisia.
-
Wahamiaji 11 akiwemo mjamzito wafa maji Libya wakielekea Ulaya
Oct 26, 2020 11:40Wahajiri 11 akiwemo mwanamke mjamzito wamefariki dunia katika Bahari ya Mediterania baada ya boti yao kuzama, huko pwani ya Libya.
-
Wahajiri 8 wa Ethiopia wafariki katika pwani ya Djibouti
Oct 05, 2020 09:51Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limesema wahajiri wasiopungua 8 kutoka Ethiopia wamezama baharini na wengine 12 wametoweka baada ya wafanya magendo ya binadamu kuwarusha baharini karibu na Pwani ya Djibouti.
-
Raia 3 wa Ethiopia wafia katika kambi ya kuzuilia wahajiri Saudia
Oct 02, 2020 10:52Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza habari ya kupoteza maisha wahamiaji watatu wa Kiethiopia ambao walikuwa wanashikiliwa katika mazingira yasiyo ya kibinadamu nchini Saudi Arabia.