-
Iran yapinga azimio la Bodi ya Magavana ya IAEA
Jun 20, 2020 04:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa hatua ya Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuandamana na Marekani katika azimio dhidi ya Iran ambalo limepasishwa katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Iran yasema ikilazimu, itaangalia upya ushirikiano wake na IAEA
Jan 19, 2020 08:04Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amezionya nchi za Ulaya kuwa, Tehran italazimika kuangalia upya ushirikiano wake na Wakala wa Kimataifa wa Niashati ya Atomiki (IAEA) iwapo EU itaendelea kuchukua hatua zisizo za kiadilifu juu ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Bei ya mafuta huenda ikaongezeka kwa hadi dola 10 kwa pipa baada ya kushambuliwa shirika la mafuta la Saudia
Sep 15, 2019 12:27Vyombo vya habari vinavyojishughulisha na masuala ya uchumi duniani kama vile gazeti la Financial Times na televisheni ya CNBC vimesema kuwa, huenda bei ya mafuta ikapanda vibaya kwa hadi dola 10 kwa pipa baada ya ndege zisizo na rubani za jeshi la Yemen kufanya mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya taasisi kubwa zaidi ya mafuta a Saudi Arabia.
-
Kenya yaomba msaada wa IAEA kutumia teknolojia ya nyuklia kutibu saratani
Nov 30, 2018 07:25Kenya imeomba msaada wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuisaidia kuimarisha matibabu ya saratani katika hospitali mbili kubwa nchini humo na pia kueneza huduma hizo za matibabu katika miji mingine mitatu.
-
IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA
Nov 23, 2018 07:59Kwa mara nyingine tena, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umethibitisha kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza majukumu na ahadi zake zote chini ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Indhari ya Shirika la Kimataifa la Nishati kuhusu kupanda bei ya mafuta
Oct 13, 2018 02:44Shirika la Kimataifa la Nishati limetahadharisha kuwa ongezeko la bei ya mafuta limekuwa na taathira hasi kwa ustawi wa uchumi wa dunia katika kivuli cha vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na kupungua uuzaji nje wa mafuta ya Venezuela.
-
Indhari ya Shirika la Kimataifa la Nishati kuhusu kuiwekea vikwazo vya mafuta Iran
Aug 12, 2018 07:15Rais Donald Trump wa Marekani tarehe Nane Mei mwaka huu alikariri madai yasiyo na msingi dhidi ya Iran na kutangaza kujitoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuvirejesha vikwazo vya nyuklia katika muda wa miezi mitatu hadi sita ijayo. Duru ya kwanza ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran imeanza kutekelezwa tangu tarehe 7 mwezi huu wa Agosti; hatua iliyolaaniwa vikali kimataifa.
-
Inspekta Mkuu wa IAEA ajiuzulu baada ya Marekani kujiondoa JCPOA
May 12, 2018 07:20Inspekta Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA ametangaza kujiuzulu ghafla, siku chache baada ya Rais Donald Trump kuiondoa Marekani kwenye makubaliano ya nyuklia ya Iran.
-
IAEA: Hakuna ithibati yenye itibari kuhusu madai kwamba Iran inaunda silaha za nyuklia
May 01, 2018 14:18Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umesema tokea mwaka 2009 hakuna kielelezo wala ithibati yenye itibari inayoonyesha kuwa miradi ya nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina malengo ya kijeshi.
-
Matarajio ya nchi wanachama wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA na majukumu ya wakala huo
Mar 07, 2018 10:51Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA ni taasisi yenye kuratibu jitihada za kimataifa katika masuala ya atomiki na kutoa huduma za kitaalamu na ushauri kwa lengo la kuhimiza na kuimarisha usalama wa nyuklia katika uga wa kimataifa. Lakini swali linalojitokeza hapa ni hili, je, IAEA imeweza kutekeleza vizuri jukumu lake hili la kimsingi?