Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wakimbizi

  • Ripoti: Watu milioni 31 walilazimika kuwa wakimbizi nchini mwao 2016

    Ripoti: Watu milioni 31 walilazimika kuwa wakimbizi nchini mwao 2016

    May 23, 2017 02:36

    Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya milioni 31 walilazimika kuwa wakimbizi ndani ya nchi zao mwaka uliopita wa 2016 lote duniani.

  • Wakimbizi wa Sudan Kusini wamiminika Sudan kwa maelfu

    Wakimbizi wa Sudan Kusini wamiminika Sudan kwa maelfu

    May 12, 2017 01:55

    Maelfu ya wakimbizi wa Sudan Kusini wanaendelea kumiminika nchi jirani ya Sudan wakitafuta mahala salama katika nchi ambayo walijitenga nayo miaka kadhaa iliyopita.

  • UN: Watoto milioni 2 wa Sudan Kusiniwamelazimika kuwa wakimbizi

    UN: Watoto milioni 2 wa Sudan Kusiniwamelazimika kuwa wakimbizi

    May 08, 2017 03:18

    Umoja wa Mataifa umesema watoto zaidi ya milioni 2 wa Sudan Kusini wamelazimika kuyahama makazi yao kutokana na mapigano na ukame vinavyoisakama nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.

  • Raia milioni moja DRC walazimika kuhama makwao

    Raia milioni moja DRC walazimika kuhama makwao

    Apr 28, 2017 22:03

    Zaidi ya watu milioni moja wamelazimika kuhama makwao kufuatia miezi minane ya machafuko yanayozidi kusambaa katika majimbo ya Kasai, Lomami na Sankuru, kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Mlipuko wa homa ya manjano kambini yaua watu 25 nchini Niger

    Mlipuko wa homa ya manjano kambini yaua watu 25 nchini Niger

    Apr 28, 2017 03:19

    Mlipuko wa homa ya manjano (Hepatitis E) umesababisha vifo vya makumi ya watu nchini Niger.

  • Zaidi ya raia elfu 9 wa Kongo DR wakimbilia Angola kutafuta hifadhi

    Zaidi ya raia elfu 9 wa Kongo DR wakimbilia Angola kutafuta hifadhi

    Apr 18, 2017 11:07

    Maelfu ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekimbilia nchi jirani ya Angola kwenda kuomba hifadhi kutokana na kushtadi machafuko nchini mwao.

  • Wafanya magendo ya binadamu wanne wauawa pwani ya Libya

    Wafanya magendo ya binadamu wanne wauawa pwani ya Libya

    Apr 07, 2017 03:24

    Watu wanne wanaotuhumiwa kufanya magendo ya bindamu wameuawa katika makabiliano na askari wa Gadi ya Pwani ya Libya.

  • Wakimbizi wa Rwanda kuanza kurejeshwa nyumbani kutoka Kongo Brazaville

    Wakimbizi wa Rwanda kuanza kurejeshwa nyumbani kutoka Kongo Brazaville

    Apr 05, 2017 04:59

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR pamoja na serikai za Rwanda na Congo Brazaville wameafikiana kuwarejesha nyumbani wakimbizi zaidi ya elfu 10 wa Rwanda walioko Jamhuri ya Kongo.

  • Kuendelea ukosoaji kuhusu mapatano yaliyofikiwa kati ya Italia na Libya kuhusu wakimbizi

    Kuendelea ukosoaji kuhusu mapatano yaliyofikiwa kati ya Italia na Libya kuhusu wakimbizi

    Apr 05, 2017 03:37

    Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka imezitaja taathira hasi za mapatano yaliyofikiwa kati ya Italia na Libya ili kuwazuia wahajiri kuelekea Ulaya kuwa ni hatari na zisizo na kibinadamu.

  • Raia 3000 wa Sudan Kusini watorokea Uganda baada ya kushambuliwa na jeshi

    Raia 3000 wa Sudan Kusini watorokea Uganda baada ya kushambuliwa na jeshi

    Apr 04, 2017 11:30

    Raia zaidi ya elfu 3 wa Sudan Kusini wameingia katika nchi jirani ya Uganda hii leo baada ya wanajeshi wa serikali SPLA kuvamia mji wa mpakani wa Pajok, na kuanza kufanya mauaji kiholela.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS