Wakimbizi wa Rwanda kuanza kurejeshwa nyumbani kutoka Kongo Brazaville
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i27326-wakimbizi_wa_rwanda_kuanza_kurejeshwa_nyumbani_kutoka_kongo_brazaville
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR pamoja na serikai za Rwanda na Congo Brazaville wameafikiana kuwarejesha nyumbani wakimbizi zaidi ya elfu 10 wa Rwanda walioko Jamhuri ya Kongo.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Apr 05, 2017 04:59 UTC

Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR pamoja na serikai za Rwanda na Congo Brazaville wameafikiana kuwarejesha nyumbani wakimbizi zaidi ya elfu 10 wa Rwanda walioko Jamhuri ya Kongo.

Pande hizo zinasema kwamba hazioni sababu yoyote ya kuendelea kuwepo kwa wakimbizi wa Kinyarwanda nchini Kongo na kuahidi kutotumia nguvu katika mchakato huo.

Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylvanus Karemera anaripoti zaidi