-
EU yashutumiwa kwa kuwabagua wakimbizi wa Kiafrika
Aug 19, 2023 03:52Umoja wa Ulaya umeendelea kukosolewa kwa kutekeleza sera za kibaguzi dhidi ya wakimbizi kutoka Ukraine kwa upande mmoja, na wale wanaotoka nchi za Afrika na bara Asia kwa upande wa pili.
-
Rekodi Mpya ya Wakimbizi Duniani
Jul 02, 2023 13:08Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu idadi kubwa na isiyo na kifani ya wakimbizi katika ripoti ambayo imepewa anwani "Mashtaka Dhidi ya Hali ya Sasa ya Dunia."
-
Iran: Mapuuza ya Magharibi yameshadidisha mgogoro wa wakimbizi
Jun 21, 2023 03:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Magharibi inajaribu kukwepa kubeba dhima ya mgogoro wa wakimbizi unaoshuhudiwa hivi sasa, na kwamba sera mbovu za Marekani na nchi za Ulaya ndizo zinazofaa kulaumiwa kwa mgogoro huo.
-
Iran, kimbilio la kwanza la wakimbizi wa Kiafghani katika miaka miwili ya karibuni
Jun 12, 2023 06:27Shirika la Kimataifa wa Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa kituo cha kwanza cha kuwapokea wakimbizi kutoka Afghanistan katika kipindi cha miaka miwili ya karibuni.
-
UNHCR yatahadharisha kuhusu mgogoro wa binadamu Somaliland, maelfu wanakimbilia Ethiopia
Mar 09, 2023 11:00Karibu watu laki moja wanaokimbia mapigano huko Somaliland; eneo lililojitenga kaskazini mwa Somalia, kwa muda wa mwezi mmoja sasa wamepewa hifadhi katika eneo moja nchini Ethiopia. Raia hao wa Somaliland wamekimbia huko licha ya eneo hilo kuathiriwa na ukame mkubwa. Hayo yameelezwa na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR).
-
UNHCR: Dola bilioni 1.3 zinahitajika kusaidia wakimbizi wa Sudan Kusini
Feb 22, 2023 13:22Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, pamoja na mashirika 108 ya utoaji wa misaada ya kibinadamu wametoa ombi la dola bilioni 1.3 ili kusaidia wakimbizi kutoka Sudan Kusini na jamii zinazowahifadhi katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC, Ethiopia, Kenya, Sudan na Uganda.
-
Wakimbizi wa DRC nchini Rwanda wakosoa kimya cha jamii ya kimataifa
Dec 13, 2022 07:16Maelfu ya wakimbizi raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo walioko nchini Rwanda wameikosoa jamii ya kimataifa kwa kufumbia macho mauaji yanayoendelea kufanywa na magenge ya waasi mashariki mwa DRC.
-
Mpango wa UK wawaacha bila makazi wahanga wa mauaji ya kimbari Rwanda
Sep 01, 2022 07:36Wahanga wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda waliofurushwa katika mabweni walikokuwa wakiishi kutokana na mpango tata wa wakimbizi wa Uingereza, wanalalamika kuwa wameachwa bila pahala pa kuishi, licha ya mabweni hayo kusalia bila watu.
-
Gavana wa Texas: Biden ndiye wa kulaumiwa kwa "janga la kutisha la wahajiri" nchini Marekani
Jun 28, 2022 09:56Gavana wa Texas nchini Marekani amemlaumu Rais Joe Biden wa nchi hiyo kuwa ndiye wa kulaumiwa kwa vifo vya makumi ya wahajiri ambao miili yao imepatikana ikiwa imetelekezwa katika lori kwenye jimbo hilo.
-
Vita vimewatenganisha mamia ya watoto na familia zao DRC
Jun 26, 2022 11:18Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Uganda limesema mamia ya watoto wamelazimika kutengana na wazazi na jamaa zao kutokana na mapigano huko mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.