-
Wazayuni wauhujumu tena Msikiti wa Al Aqsa
Jun 20, 2021 12:25Waloweiz wa Kizayuni wameuhujumu kwa mara nyingine Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) huku wakipata himaya ya askari wa utawala haramu wa Israel wakati wakitekeleza jinai hiyo.
-
UN: Israel imebomoa zaidi ya nyumba 500 za raia wa Wapalestina
Sep 29, 2020 07:00Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa zaidi ya nyumba mia tano za raia wa Palestina.
-
Wazayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa
Jun 10, 2020 04:54Makumi ya walowezi wa Kizayuni, wakiwa wanapata himaya ya wanajeshi wa utawala wa Israel wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Dec 18, 2019 11:41Walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kuuvunjia heshima msikiti huo ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Palestina yataka walowezi wa Kizayuni watambuliwe rasmi kuwa ni magaidi
Dec 17, 2019 08:13Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetoa wito wa kuwekwa jina la walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina katika orodha ya magaidi.
-
Kwa akali walowezi watano wa Kizayuni wameangamizwa katika jibu kali la makombora ya wanamuqawama wa Palestina
May 05, 2019 13:44Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Kizayuni Israel vimeripoti kwamba jumla ya raia watano wa utawala huo wameangamizwa katika mashambulio ya makombora ya Wapalestina kuelekea vitongoji vya walowezi ndani ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Makumi ya Walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Feb 08, 2019 14:52Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Jan 11, 2019 04:13Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia tena Msikiti wa al-Aqswa wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina yatoa indhari ya kuvamiwa maeneo ya kandokando ya Msikiti wa Al-Aqsa
Nov 22, 2018 08:22Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetahadharisha kuhusu njama inayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuyavamia na kuyakalia kikamilifu maeneo ya kandokando ya msikiti wa Al-Aqsa.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqswa
Oct 31, 2018 08:16Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia Msikiti wa al-Aqswa wakiwa wanasaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.