-
Kwa akali walowezi watano wa Kizayuni wameangamizwa katika jibu kali la makombora ya wanamuqawama wa Palestina
May 05, 2019 09:14Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Kizayuni Israel vimeripoti kwamba jumla ya raia watano wa utawala huo wameangamizwa katika mashambulio ya makombora ya Wapalestina kuelekea vitongoji vya walowezi ndani ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Makumi ya Walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Feb 08, 2019 11:22Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Jan 11, 2019 00:43Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia tena Msikiti wa al-Aqswa wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina yatoa indhari ya kuvamiwa maeneo ya kandokando ya Msikiti wa Al-Aqsa
Nov 22, 2018 04:52Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetahadharisha kuhusu njama inayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuyavamia na kuyakalia kikamilifu maeneo ya kandokando ya msikiti wa Al-Aqsa.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqswa
Oct 31, 2018 04:46Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia Msikiti wa al-Aqswa wakiwa wanasaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Wazayuni wa Israel washambulia Msikiti wa al Aqsa, wauvunjia heshima
Oct 24, 2018 13:02Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameshambulia na kuvunjia heshima Msikiti mtukufu wa al Aqsa na kibla cha kwanza cha Waislamu wote duniani.
-
Umoja wa Ulaya wazidi kuisusia Israel, Mogherini akataa kuonana na walowezi wa Kizayuni
Sep 10, 2018 02:54Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amekataa ombi la kundi moja la walowezi wa Kizayuni waliotaka kuonana naye mjini Brussels, Ubalgiji.
-
Meja Jenerali Bagheri: Maadui ni walowezi Ghuba ya Uajemi
Aug 29, 2018 21:56Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kutokana na uimara wa kikosi cha majini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH), nchi maadui huwa zina woga mkubwa kabla ya kuingia katika Lango Bahari la Hormoz (la kusini mwa Iran) na katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, maadui hao wamelazimika kuheshimu sheria za kimataifa.
-
OIC yataka kusitishwa ujenzi wa vitongozi vya walowezi wa Kizayuni
Aug 29, 2018 03:16Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa wito wa kusitishwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Wapalestina.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqswa
Aug 27, 2018 10:23Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wamevamia Msikiti wa al-Aqswa wakiwa wanasaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.