-
Watu 18 waaga dunia baada ya mgodi wa dhahabu kuporomoka Guinea
Mar 04, 2022 02:38Wachimba migodi wasiopungua 18 wamefariki dunia baada ya kuporomokewa na udongo kwenye mgodi wa dhahabu magharibi mwa Guinea.
-
Watu 16 wamepoteza maisha Cameroon katika mkasa wa moto
Jan 24, 2022 02:42Serikali ya Cameroon imetangaza habari ya kuaga dunia watu wasiopungua 16 katika mkasa wa moto uliozuka ndani ya klabu ya starehe katika mji mkuu wa nchi hiyo, Yaounde.
-
Makumi wauawa katika mkanyagano katika hafla ya kidini Liberia
Jan 20, 2022 11:56Watu wasiopungua 29 wameaga dunia katika tukio la mkanyagano kwenye hafla ya waumini wa Kikristo viungani mwa mji mkuu wa Liberia, Monrovia.
-
Serikali: Watu waliouawa katika ghasia za Kazakhstan ni 225
Jan 16, 2022 07:56Ofisi ya Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Kazakshtan imesema watu 225 wakiwemo maafisa usalama 19 wameuawa katika machafuko ya hivi karibuni katika nchi hiyo ya Asia ya Kati.
-
Waliouawa katika ghasia za Kazakhstan wapindukia 160
Jan 09, 2022 13:31Wizara ya Mambo ya Ndani ya Kazakhstan imetangaza kuwa, watu 160 wakiwemo maafisa usalama wameuawa tangu kuanza kwa machafuko katika nchi hiyo ya Asia ya Kati wiki moja iliyopita.
-
Makumi wauawa katika maandamano ya fujo Kazakhstan
Jan 06, 2022 13:32Makumi ya watu wameuawa katika makabiliano baina ya waandamanaji na maafisa usalama nchini Kazakhstan, huku maandamano ya ghasia yakichachamaa katika nchi hiyo ya Asia ya Kati.
-
38 waaga dunia baada ya mgodi wa dhahabu kuporomoka Sudan
Dec 29, 2021 07:51Makumi ya watu wamefariki dunia baada ya kuporomokewa na udongo kwenye mgodi wa dhahabu nchini Sudan.
-
Raia 125 wauawa katika hujuma ya waasi kaskazini mwa Ethiopia
Sep 09, 2021 09:49Madaktari wa Ethiopia wamethibitisha kuwa raia wasiopungua 125 wameuawa katika shambulizi lililofanywa na wapiganaji wa kundi la TPLF huko kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Idadi ya waliouawa katika tetemeko la ardhi nchini Haiti yapindukia 1,200
Aug 16, 2021 07:37Idadi ya watu waliofariki dunia nchini Haiti kufuatia janga kubwa la tetemeko la ardhi lilioikumba nchi hiyo siku ya Jumamosi imeongezeka na kufikia karibu watu 1,300.
-
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM): Karibu watu elfu moja wamekufa maji mwaka huu tu Bahari ya Mediterania
Jul 28, 2021 07:00Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, karibu wahajiri haramu elfu moja wamekufa maji tangu mwanzoni mwa mwaka huu katika maji ya Bahari ya Mediterania.