-
Ripoti: Zaidi ya Wazayuni 200 wakiwemo wanajeshi waliangamizwa mwaka uliopita
Apr 23, 2023 01:31Duru za Kizayuni zimetangaza kuwa, zaidi ya Wazayuni 200 waliangamizwa katika mwaka uliopita (2022) katika ardhi za palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel.
-
Idadi ya askari wa Israel wanaojiua imeongezeka ghafla
Jun 22, 2022 07:56Duru za Kiebrania zimeripoti ongezeko la idadi ya askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel waliojiua katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka huu wa 2022.
-
Sababu za idadi kubwa ya vifo vya wanajeshi wa Israel
Jan 15, 2022 07:25Gazeti la Kiebrania la Israel Hume limeripoti kwamba wanajeshi 31 wa Israeli waliuawa katika mwaka uliomaliza majuzi wa 2021 na kwamba 11 kati yao walijiua wenyewe.
-
Zaidi ya wanajeshi elfu moja (1000) wa Israel wawekwa chini ya karantini kwa corona
Mar 09, 2020 08:00Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limetangaza kuwa, wanajeshi 1040 wa utawala huo ghasibu wamewekwa chini ya karantini kutokana na virusi vya corona.
-
Risasi za jeshi la Israel zawapofusha Wapalestina 21 Ukanda wa Gaza
Feb 27, 2020 13:11Kituo cha Haki za Binadamu cha Beytulahm (Bethlehem) huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu kimeripoti kuwa, Wapelestina 21 katika Ukanda wa Gaza wamesababishiwa upofu na ufyatuaji risasi wa jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel ndani ya miaka miwili iliyopita.
-
Wazayuni wakiri: Askari watano wa Israel waliuawa ndani ya gari lililoripuliwa na Hizbullah
Sep 04, 2019 02:41Gazeti la Kizayuni la Haaretz limekiri kuwa askari watano wa Israel walikuwemo ndani ya gari la kijeshi lililoripuliwa na wanamuqawama wa Hizbullah ya Lebanon.
-
Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wahofia kufanya kazi katika mipaka ya Ghaza
Aug 03, 2019 01:25Redio ya jeshi la utawala wa Kizayuni imesisitiza kuwa wanajeshi wa utawala huo hawana hamu ya kuhudumu katika mipaka ya Ukanda wa Ghaza na wanafadhilisha kufanya kazi katika maeneo mengine.
-
Maafisa 60 wa jeshi la Israel wataka kukomeshwa ubaguzi wa rangi
Jul 21, 2019 08:08Maafisa 60 wenye asili ya Ethiopia wa jeshi la Israel wametoa wito wa kukomeshwa ubaguzi wa rangi katika muundo wa jeshi la utawala huo.
-
Wanajeshi wa utawala unaoikalia Quds kwa mabavu wamtia mbaroni waziri wa Palestina
Jun 30, 2019 12:59Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni jana usiku walivamia nyumba ya waziri wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na kumtia mbaroni.
-
Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa wakati wa Sala
May 20, 2019 10:12Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Waislamu Wapalestina waliokuwa wakiswali katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem).