-
Nandi-Ndaitwah atangazwa rasmi mshindi wa uchaguzi na kuwa rais wa kwanza mwanamke Namibia
Dec 04, 2024 06:39Namibia imepata rais wake wa kwanza mwanamke baada ya mgombea wa chama tawala cha SWAPO na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Bi Netumbo Nandi-Ndaitwah mwenye umri wa miaka 72, kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika wiki iliyopita.
-
Mke wa zamani wa Laurent Gbagbo kugombea urais Ivory Coast
Dec 01, 2024 11:33Orodha ya wagombea wa urais nchini Ivory Coast imezidi kuwa kubwa. Mgombea aliyejitokeza hivi karibuni zaidi ni mke wa zamani wa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Laurent Gbagbo.
-
Uchaguzi mkuu kufanyika Namibia Jumatano, uwezekano wa rais mwanamke
Nov 26, 2024 13:21Raia wa Namibia watapiga kura siku ya Jumatano kumchagua rais mpya na wabunge wa Bunge la Kitaifa katika kinyang'anyiro ambacho wataalamu wanaamini kuwa kinaweza kuwa na ushindani mkubwa zaidi tangu uhuru wa nchi hiyo mwaka 1990.
-
Bara la Afrika laongoza katika mauaji ya wanawake duniani
Nov 26, 2024 13:17Imebainika kuwa wanawake na wasichana 140 walifariki dunia kila siku duniani kote mwaka 2023 wakiwa mikononi mwa watu wa karibu, ikimaanisha kuwa mwanmake mmoja aliuawa katika kila dakika 10, na kwa mantiki hiyo ni jumla ya wanawake 85,000 waliouawa huku bara la Afrika likiongoza.
-
UN yaitaka Somalia iongeze uwekezaji katika vita dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia
Nov 26, 2024 02:25Umoja wa Mataifa jana Jumatatu ulitoa mwito kwa serikali ya Somalia kuongeza uwekezaji katika vita dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia nchini humo.
-
Siku ya Kimataifa ya Marufuku ya Ukatili Dhidi ya Wanawake sambamba na hali ya kusikitisha ya wanawake wa Gaza
Nov 25, 2024 14:10Leo tarehe Novemba 25 ni Siku ya Kimataifa ya Kupiga Marufuku Ukatili dhidi ya Wanawake. Hii ni katika hali ambayo wanawake katika nchi nyingi za dunia bado wako chini ya ukandamizaji, dhulma na unyanyasaji, hali ambayo ni mbaya zaidi katika maeneo ya vita kama Ukanda wa Gaza.
-
Mabanati wa Ghaza waendesha 'Muqawama wa Kiqur'ani' ili kuzipa nyoyo sakina na utulivu
Oct 31, 2024 03:46Kundi moja la mabanati katika Ukanda wa Ghaza limeamua kuweka darsa za kuhifadhi Qur'ani ili kuzipa nyoyo zao sakina na utulivu kwa maneno matukufu ya Mwenyezi Mungu, licha ya eneo hilo kuendelea kuandamwa na mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kikao cha tano cha Kamisheni ya Pamoja ya Iran na Tanzania kimeshirikisha wanawake wengi
Oct 29, 2024 07:55Makamu wa Rais wa Iran anayehusika na Masuala ya Wanawake na Familia ametangaza kuwa kikao cha tano cha Kamisheni ya pamoja ya Iran na Tanzania kimefanyika kwa kushirikisha wanawake wengi na kwa lengo la kupanua uhusiano wa kiuchumi, kibiashara, kijamii na kiutamaduni kati ya nchi hizo mbili.
-
UN: Vita vimeathiri zaidi ya wanawake milioni 600 kote ulimwenguni
Oct 28, 2024 06:49Umoja wa Mataifa umesema kuwa, zaidi ya wanawake na wasichana milioni 600 wameathiriwa na vita katika kona zote za dunia na hilo ni ongezeko la asilimia 50 ikilinganishwa na miaka kumi iliyopita. Maafisa wakuu wa umoja huo wana wasiwasi kwamba ulimwengu umewasahau wanawake huku kukiwa na vilio vikubwa vya kukanyagwa zaidi haki za wanawake kwenye maeneo ya vita.
-
IMF yaitahadharisha dunia kuepuka vita vya kibiashara
Oct 25, 2024 02:40Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeitahadhariisha dunia na kuuiitaka iepuke vita vya kibiashara.